Kuna watumishi wengine nchi hii wanadhulumiwa

kanamaheri

Senior Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
104
Reaction score
84
Inawezekana kwenye kundi la utumishi mwalimu sio sehemu ya utumishi huo. Kwenye ofisi za umma na kufanya shughuli za umma watumishi husika hutumia rasilimali za ofisi au kitengo kufanya mambo ya ofisi na kitengo husika, hii ni tofauti na kada ya ualimu mtu unatakiwa kutumia rasilimali fedha ya mshahara wako kufanya shughuli za kiofisi.

Ita majina ya mahudhurio ya wanafunzi kwa mfumo unaambiwa weka bando na hela yako ya kula na watoto nyumbani kwako, kwani kama rasilimali mali fedha hazitoshi si tuahirishe kufanya shughuli zingine ambazo zinahitaji fedha.

Kwanza kama mmewagawia vishikwambi mmeshindwaje kufunga mifumo ya internet itumike wakati ule mnaotaka watu waite hayo mahudhurio kwa mfumo!!!! Nchi hii kuna watumishi na wafanyakazi.
 
Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako.
 
Tatizo liko kwa walimu wenyewe. Sidhani kama wanalazimishwa kufanya hayo. Utakuta mtu anatoa nakala ya taarifa fulani kwa gharama zake ilihali kuna mafungu yanatolewa kupitia kwa wakuu wa shule kwa ajili ya hizo shughuli.

Kada ya ualimu imejaa ubinafsi na dhulma. Na mbaya zaidi walimu wengi wanaogopa kuhoji! Hilo ni tatizo lao
 
haya madaraja ya utumishi ya malipo ya chini kuna ujinga mwingi sana.sijui ni njaa ya akili ama kitu gani!!!

mtu unalipwa laki 4 na badi unatumia dharama zako kwenye kazi za serikali!!!
huo ni upumbavu sio uzalendo.
 
Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako
Wenye uwezo wa kupata hizo pesa za juu kwa juu ni wale walioko kwenye sehemu za upigaji upigaji hata ule wa kiwango cha chini !!

Mwalimu yupo Shuleni kijijini anapata wapi hizo pesa za juu kwa juu ??!!
Wengine wanapata mpaka pesa za kukaa kwenye kiti tu mbali na marupurupu mengine kibao !!

Na wote hao walishapita huko huko kwa hao hao walimu !!
Sasa tumesahau !! 😱
 
Tatizo liko kwa walimu wenyewe. Sidhani kama wanalazimishwa kufanya hayo. Utakuta mtu anatoa nakala ya taarifa fulani kwa gharama zake ilihali kuna mafungu yanatolewa kupitia kwa wakuu wa shule kwa ajili ya hizo shughuli.
Kada ya ualimu imejaa ubinafsi na dhulma. Na mbaya zaidi walimu wengi wanaogopa kuhoji! Hilo ni tatizo lao
Ohoooo kumbee !!
 
Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako
Nikajua ishu kuubwaa kumbe bundle la jero.
 
Acheni uzalendo uchwara,utafanyaje kazi ya serikali kwa gharama zako?
Wengi nawaona hats shule hamtaki zifungwe...eti mnafundisha wanafunzi.
Lini mtafanya miradi yenu?
 
Wanakera kwa kweli, sijui hawana Kazi za kufanya....waendeleza mitaala watu na PhD zao wameonelea ni muhimu wanafunzi wapumzike wakati wa likizo, anaibuka mtu na Cheti chake cha kigurunyembe, viatu vimeisha soli upande mwingine nywele zimemfumuka Ka Chizi...oooh hamna kufunga shule🤣...tujitolee🤣

Hiyo likizo si ukaandae hata bustani ya mchicha huko.
 
Wenye uwezo wa kupata hizo pesa za juu kwa juu ni wale walioko kwenye sehemu za upigaji upigaji hata ule wa kiwango cha chini !!

Mwalimu yupo Shuleni kijijini anapata wapi hizo pesa za juu kwa juu ??!!
Wengine wanapata mpaka pesa za kukaa kwenye kiti tu mbali na marupurupu mengine kibao !!

Na wote hao walishapita huko huko kwa hao hao walimu !!
Sasa tumesahau !! 😱
Hivi hilo bando la kuita majina wanafunzi linafika hata mb20, kama si kuendekeza njaa nini vipo vitu vya kupigia kelele si hilo ita majina ukasema ununuliwe bando
 
Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako
Kwani wale wanaopewa PESA za allowance siyo kwamba Hawa kupewa ajira mbona Wana marupurupu kibao
 
Inawezekana kwenye kundi la utumishi mwalimu sio sehemu ya utumishi huo. Kwenye ofisi za umma na kufanya shughuli za umma watumishi husika hutumia rasilimali za ofisi au kitengo kufanya mambo ya ofisi na kitengo husika, hii ni tofauti na kada ya ualimu mtu unatakiwa kutumia rasilimali fedha ya mshahara wako kufanya shughuli za kiofisi.

Ita majina ya mahudhurio ya wanafunzi kwa mfumo unaambiwa weka bando na hela yako ya kula na watoto nyumbani kwako, kwani kama rasilimali mali fedha hazitoshi si tuahirishe kufanya shughuli zingine ambazo zinahitaji fedha.

Kwanza kama mmewagawia vishikwambi mmeshindwaje kufunga mifumo ya internet itumike wakati ule mnaotaka watu waite hayo mahudhurio kwa mfumo!!!! Nchi hii kuna watumishi na wafanyakazi.
Dear mwalimu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wanakera kwa kweli, sijui hawana Kazi za kufanya....waendeleza mitaala watu na PhD zao wameonelea ni muhimu wanafunzi wapumzike wakati wa likizo, anaibuka mtu na Cheti chake cha kigurunyembe, viatu vimeisha soli upande mwingine nywele zimemfumuka Ka Chizi...oooh hamna kufunga shule🤣...tujitolee🤣

Hiyo likizo si ukaandae hata bustani ya mchicha huko.
Mi huwa nawashangaa sana hawa viumbe...
 
Inawezekana kwenye kundi la utumishi mwalimu sio sehemu ya utumishi huo. Kwenye ofisi za umma na kufanya shughuli za umma watumishi husika hutumia rasilimali za ofisi au kitengo kufanya mambo ya ofisi na kitengo husika, hii ni tofauti na kada ya ualimu mtu unatakiwa kutumia rasilimali fedha ya mshahara wako kufanya shughuli za kiofisi.

Ita majina ya mahudhurio ya wanafunzi kwa mfumo unaambiwa weka bando na hela yako ya kula na watoto nyumbani kwako, kwani kama rasilimali mali fedha hazitoshi si tuahirishe kufanya shughuli zingine ambazo zinahitaji fedha.

Kwanza kama mmewagawia vishikwambi mmeshindwaje kufunga mifumo ya internet itumike wakati ule mnaotaka watu waite hayo mahudhurio kwa mfumo!!!! Nchi hii kuna watumishi na wafanyakazi.
Walimu mnahudumiwa kutokana na vile mlivyo.
 
Mwalimu tuna wasubiri 2025 mpate posho ya kusimamia kura
 
Back
Top Bottom