Wakatil sanaHivi ni lazima kila mtu humu jukwaani awe mwanasiasa,hivi ni lazima kila uzi humu ndani uhusishwe na siasa watu wanashindwa kuzuia mihemko yao humu tunajua wengine mko kazini ila tunashusha hadhi ya jukwaa.mnakera sana halafu mnashindwa hata kujiongeza mtu unashadadia siasa tangu upo kijana mpaka unazeeka hakuna faida ni hasara tuu mnapoteza muda,kama umeamua kujikita kwenye siasa ni wewe usilazimishe wote tuwe hivyo.
safi sana bro.humu kuna watu wanatembelea majukwaa yote kutangaza siasa tu.Aisee.
Pole sana mkuu kwa kukwazika.
Binafsi natembelea majukwaa yote isipokuwa yale yanayohitaji upatiwe access na Mods, na nabehave kulingana na jukwaa.
Tuwe na utamaduni wa namna hii wakuu
Umemjibu vizuri ila hakustahili jibu hiliAisee.
Pole sana mkuu kwa kukwazika.
Binafsi natembelea majukwaa yote isipokuwa yale yanayohitaji upatiwe access na Mods, na nabehave kulingana na jukwaa.
Tuwe na utamaduni wa namna hii wakuu
Pale pia nimejaribu kuwaasa hao ambao wanalalamikiwa na mleta madaUmemjibu vizuri ila hakustahili jibu hili
Kweli, wanakera sana!Hivi ni lazima kila mtu humu jukwaani awe mwanasiasa,hivi ni lazima kila uzi humu ndani uhusishwe na siasa watu wanashindwa kuzuia mihemko yao humu tunajua wengine mko kazini ila tunashusha hadhi ya jukwaa.mnakera sana halafu mnashindwa hata kujiongeza mtu unashadadia siasa tangu upo kijana mpaka unazeeka hakuna faida ni hasara tuu mnapoteza muda,kama umeamua kujikita kwenye siasa ni wewe usilazimishe wote tuwe hivyo.
Kuna watu wanajifunza mambo mengi muhimu kupitia humu so its serious ndio maana kuna uongozi wote tupo serious ndio maana kuna chitchat forum kwa wasio serious.Mkuu ukifuata akili za humu ndani utajipa msongo wa mawazo...don't take life so seriously its not permanent!
Kuna watu wanajifunza mambo mengi muhimu kupitia humu so its serious ndio maana kuna uongozi wote tupo serious ndio maana kuna chitchat forum kwa wasio serious.
sure chiefAisee.
Pole sana mkuu kwa kukwazika.
Binafsi natembelea majukwaa yote isipokuwa yale yanayohitaji upatiwe access na Mods, na nabehave kulingana na jukwaa.
Tuwe na utamaduni wa namna hii wakuu