Kuna Watu wana utani mbaya sana hakyanani!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
" Eti siku zote Mume akifa na UKIMWI hata Mke nae atafuata muda si mrefu ". Wakaenda mbele zaidi na kusema " kawaida Mke mwema hupenda sana kuongozana na Mumewe kila aendapo " na wa mwisho akasema kwamba eti " hata kama Mwanamke ana Wanaume wengi ila kuna mmoja popote atakapokuwa anaenda basi lazima tu Yeye atamfuata ".

Hivi kwanini Watanzania mna Utani mbaya sana halafu unachoma hadi Kumoyo? Akhsanteni sana Uganda Revenue Authority ( URA ) na Shukrani nyingi ziende kwa Mkulima wa Kizambia ambaye bado alikuwa Pesa yake ya Mavuno nchini Tanzania hivyo na Yeye kaamua ' Kukinukisha ' na kwamba kama noma na iwe noma.

Mji leo kimya ' Kudadadeki '. Tutaheshimiana tu mwaka huu na sijui kama kwa spidi yangu ya hatua tano ( 5 ) nilizokuacha nazo utanikamata na usidhani ubovu wangu wa Kizanzibari ndiyo huo huo utaonekana Bara kwani kwa sasa sina tena cha Kujivunia zaidi hili lililobaki na sasa ndiyo tunaanza kufanya ' Fitna ' ili ' Washamba ' wa Chamazi ' wakutese ' ili upotee kabisa kisha njia yangu iwe nyeupe.

Nawasilisha.
 
Washirikina wanayo akili moja ya asili. Akifa mwanawe, hafikirii kuzaa mwingine...badala yake atafurahi aone na mwana wa jirani kafa. Kwa akili za kushikiwa na Mwana wa Sunday, hiyo inaitwa hatua moja mbele kuelekea UBINGWA!

Unanyooshwa miaka nenda - rudi, ndoo 27 kibindoni na ya 28 iko njiani...halafu anayekumiminia mbegu umuite MKE!!!!!
 
Yanga kafa kiume penati hazina mwenyewe tofauti na wale Billion 1 wakufungwa fungwa

Mkuyenge ukiingia wote kunako Mbunye hadi breki ' P ' au Mkuyenge huo huo uingie nusu kunako Mbunye hapo kuna tofauti yoyote ya Kimantiki? Kuku ni Kuku tu Jogoo jina na ninachojua tu ni kwamba Kulwa na Dotto wa Kariakoo wote ' tumekanyagwa ' na watoza ushuru wa kwa Idi Amini Dada.
 
Waafrika mwanaume ndio anakuwa mkubwa kwenye ndoa..sasa nani kati ya Yanga na Simba dume
 
Screenshot_2018-01-08-22-39-41.png
 
Back
Top Bottom