Kuna watu wana maono

Ingawa sikubaliani sana na wewe,nikama tu jambazi vile kila akitoka hajui kama atarudi,sasa mzee na muda umemsapoti kusingekuwa na machale angekuwa labda 37yrs.
Hakuwai kuwa na wazo la kustafu Kabla ya 60,lakini alivyoingia mzee wa nyika ikabidi mzee astaafu kwa 55.
 
Hakuwai kuwa na wazo la kustafu Kabla ya 60,lakini alivyoingia mzee wa nyika ikabidi mzee astaafu kwa 55.
So unaona age imemsapoti! Yuko mmoja alisema atafia ofisini akitaraji ile mikataba sasa na yeye imebuma pia anajidai eti hataki tena kazi.
 
Hahaaa saaafii, mzee yuko vizuri sana[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Pongezi na sapot za huyu mzee zinatoa taswira ya akili zetu tanzania pasipo kujali kamuumiza nani aliyepaswa kushika iyo nafasi au kutokua makini kwa mamlaka zetu dhidi ya fojary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…