Kuna watu wana maono

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Kuna mzee wangu mmoja bila kuwa na machale na yeye angekumbwa na utumbuaji wa vyeti feki.
Huyu mzee alikuwa na cheti feki, Kwan maana ya kwamba baada ya kuhitimu fomu4 miaka ya 70 alipata div4,aliamua kukifanyia modification kikawa kinasomeka div2.
Mzee mwenyewe akapiga zake chuo(diploma) baadae akajiendeleza adi kuhitimu shahada ya kwanza kwa kutumia cheti feki.
Baada ya kuhitimu alifanikiwa kuajiliwa na kufanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka25,na moja ya wizara aliyofanya kazi JPM aliwai kuiongoza.
Nakumbuka mwaka 2015 baada ya JPM kutangazwa mshindi, mzee aliniambia kwa jinsi jpm alivyomtu asiyetabilika ni vyema astafu tu kwa hiari kwani umri pia unamruhusu.
Yaani kiufupi alikuwa naona kustaafu kwa miaka 60 ni mbali sana,na alikuwa akisema sana JPM ni mtu asiyetabilika ata kidogo ,ni vyema ajistahafie kwa amani.
Na kweli mzee akafanya taratibu na kustafu kwa hiari mwaka jana 2016 ,ikiwemo kupewa stahiki zake 138milioni.
Kumbe kuna jamaa mwingine alitumia cheti kile feki cha mzee, na jina limetokea kwenye orodha ya vyeti feki,na tayari kajitoa kazini mwenyewe. Na mzee naye yangemkumba kama asingeshtuka mapema
Naona mzee yupo apa anakula Zake bata polepole,akiwa na kitu Nissan murrano.
 

Dah umeshamuharibia,
Jamaa watamtafuta wamnyang'anye hiyo Murano na nyumba zake, jamaa hatabiriki
 
Reactions: SDG
Hahaahaahaaa
 
Ndugu yangu niamini nipo makini Sana kuna taarifa zimezipindisha kimakusudi isiwe rahisi kumfahamu.
 
Kilichomsaidia mzee ni kufanya kazi chini ya wizara ya JPM hivyo alikuwa na uzoefu nae. Hayo si machale ni uzoefu wake kwa JPM, alimsoma kitambo.
 
Kilichomsaidia mzee ni kufanya kazi chini ya wizara ya JPM hivyo alikuwa na uzoefu nae. Hayo si machale ni uzoefu wake kwa JPM, alimsoma kitambo.
True
 
Wengi tu,jk alipostaafu urais walistaafu nae
 
Hao wote waliofoji vyeti wameishi wakijua iko siku! Sema mzee kabahatika tu.
 
The sixth sense at work.

 
Hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaa! Mzee wako ni bonge le Geneous kwa sabab ameweza kuzisoma nyakati na matukio tangu ujana wake ,mungu ampe maisha maref na afya njema
 
Hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaa! Mzee wako ni bonge le Geneous kwa sabab ameweza kuzisoma nyakati na matukio tangu ujana wake ,mungu ampe maisha maref na afya njema
Staring hafii
 
Kubahatika plus machale
Ingawa sikubaliani sana na wewe,nikama tu jambazi vile kila akitoka hajui kama atarudi,sasa mzee na muda umemsapoti kusingekuwa na machale angekuwa labda 37yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…