wapo wengi wakina sofia nyau, angela kiziga, tatu mtimizi
2020 namrithi Kamara akae chonjo, coz ubunge sio fani yake,
Awamu hii naomba nikiri kabisa ni awamu ya kusomesha watu namba kama ilivyokuwa kwenye wimbo wa hawa jamaa! Kwanza wanaosemeshwa namba ni maccm yaliyoshinda majimboni, haya majamaa yalikuwa yanapiga kampeni huku mitaani eti oooh nipeni kura ili mpate waziri (hawa wote chali). Sasa hivi watakuja mitaani kwa kujificha. Rais aliwaona hawafai ndo maana kaenda kuazima nje kwa baadhi ya wizara. Yaani Kangi Lugola hata wizara ya wanyamapori ulikuwa hufai? Masele hata ujenzi hukufit? Wacha muisome namba!
Kundi la pili ni wale waliotegemea kubebwa kwa mgongo wa udini! Awamu iliyopita ilikuwa ya kupalilia udini sana lakini awamu hii haiangalii mambo ya udini hata kama itakuwa 2/10 ni sawa tu mradi watu wawe na uwezo. Katika kuthibitisha hilo baraza hili ni 9/22 sasa sijui waliozoea kubebwa wataandana? Wacha tusubiri, time will tell!! "HAPA KAZI TU" Usitegemee dini itakubeba au jinsi itakubeba!
kuna yule mbunge wa Geita alikuwa anajitapa na kuwaambia watu wa geita eti atakuwa waziri wa nishati na madini,wengi wao walidhani mbeleko itaendelea kuwepo
Huyu naye yuko anaisoma namba taratibu! Dr. Kamala kwishney, Mh. Chegeni finito! Lazaro Nyarandu kuishney! Wakuu let us be honest, hivi mtu unaacha Ubalozi unakinbilia ubunge maanake nini? Au ndo hao wanaoota uwaziri ili wapige mpunga kisawasawa? Hivi heshima ya mbunge inazidi ya balozi? Kwa kweli Dr. Kamala atakuwa anajuta sana (kutoka Belgium mpaka Nkenge?).
Mmemsahau Hawa Abdulrahmani Ghasia, nae chali ndembendembe kifo cha mende uminisiteri!
Huyu naye yuko anaisoma namba taratibu! Dr. Kamala kwishney, Mh. Chegeni finito! Lazaro Nyarandu kuishney! Wakuu let us be honest, hivi mtu unaacha Ubalozi unakinbilia ubunge maanake nini? Au ndo hao wanaoota uwaziri ili wapige mpunga kisawasawa? Hivi heshima ya mbunge inazidi ya balozi? Kwa kweli Dr. Kamala atakuwa anajuta sana (kutoka Belgium mpaka Nkenge?).
Ubalozi hauna fedha ndefu. Unaishi kwa bajeti finyu tuu na pesa ya madurufu ya visa na kama ndio umepangiwa msumbiji au burundi imekula kwako labda uwe smuggler
Naona Mkuu umesahau yaliyotokea Rome wakati wa Mkapa! Prof. Mahalu alivuta 3 billion na kesi likawagaraza
Sio kwa dunia ya sasa EU yenyewe haina pesa za kumpa Greece. Sasa hiyo kazi ni posho na conferences tuu. Enzi ya mzee Mkapa fedha ilikuwapo. Though unaweza kuwa broker wa investors refer to balozi wa tz southafriva wa wakati ule kila kwenye board member alikuwamo mpaka dstv.