usipende kitonga mkuu, jifunze kusoma kitu hata mara mbili ili uelewe sio kila kitu uelewe mara moja tu,hakuna mwenye akili hiyo
mimi naamini hata majibu ya yesu aliyokuwa akiwapa watu,wapo waliomuona ni mtu mwenye matatizo lakini matatizo walikua nayo wenyewe.
ifunze akili yako ku analyse vitu , jaribu kutaka kujua ,like huyu mtu kaongea au kuandika hivi what was his idea ?, learn to see things from the other side, ukiishi kuona kitu kama kilivo tu bila kukiangalia kwa upande mwingine utaishia kuoelewa au kuelewa vingine