kuna watu ni wababe jamani

Mdai kama vipi peleka kesi kwa mwenyekiti wa mtaa anakua mbabe kwenye jasho la mtu

ni kada na kule wanamfahamu ,aana sikua namjua baada ya hiyo ishu nikaona huyu mtu ni mtanzania?na kama ni mtanzania ujasiri ana utoa wapi??kwa hiyo nikaja nikajua ni kada
 
Mimi nilitukanwa wakati pesa yangu. Mtu namtumia meseji ya kukumbushia deni langu najibiwa "weee ukome tena ukomae" nikawa mdogo tu
 
Ungemuuliza kuwa imekuwaje, maana ulisema utanilipa kesho yake ukienda ATM? Kwa hiyo utanilipa lini, maana na mimi nimebanwa? Baada ya hapo we mwambie ok, lakini nilitoa akiba yangu kwa kujua utarejesha. kisha achana naye tu, act like nothing happened!
 

i did that nilijieleza kama dakika 5 nzima mwisho akanipa hilo jibu
 
Siyo lazima kovu liwe la uso mura hata kichwani kwa mbele ambapo itaonyesha kuwa ulikuwa unapambana......

duh hivi huo ujasiri mnautoaga wapi mnafundishwaga jandoni ama??
 
acha tu ndugu yaan jamaa kila siku anaenda kazini mpaka leo huwa nasema kulipa deni kipaji sio uwezo

Kulipa deni ni fani, au mtu unajifunza na ukifuzu practical yake inabidi uwe mzalendo.
 
duh hivi huo ujasiri mnautoaga wapi mnafundishwaga jandoni ama??
Hapana Mkuu ni wa kuzaliwa nao tu.......kuna wakati fulani miaka ya themanini kulitokea vurugu kwenye mnada Mdogo wangu alipigwa mshale kwenye makalio nilitaka kuuchomoa lakini alinishauri tuuache hivyo hivyo ili baba akauone ulivyoingia.......na ikawa hivyo...........
 
kuna msanii Bellenain aliimba "Ukitaka kuwa mbaya dai chako-umejenga uadui kati yangu mi na ndugu zako" "bora mfadhili mbuzi, utakula mchuzi" ndo hivyo! Dawa yake hakuna kukopeshana.
 

nimecheka kwel nlivoeka hyo saut ya kikurya,,hyo inaitwa ukitaka ubaya dai chako
 

hhhahahaH mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu jamani hata kama ni kumantain status dogo alifunika
 
kuna msanii Bellenain aliimba "Ukitaka kuwa mbaya dai chako-umejenga uadui kati yangu mi na ndugu zako" "bora mfadhili mbuzi, utakula mchuzi" ndo hivyo! Dawa yake hakuna kukopeshana.

tatizo sio kukopeshana tatizo ni mtu kukunyima chako kijasiri hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…