masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,802
- 16,829
Me kuna MTU muhaya aliniambia ananukia damu kwaiyo nisimsogelee na nikatii
tabia ya mtu haina uhusiano na kabila wala dini.nakumbuka nilishakaaga sehemu mpangaji mwenzangu akanigongea mida ya jioni akaniambia naomba niazimishe kiasi flani cha pesa hapa sina sijapitia atm alafu akadai kuna mtu nataka nimtumie jamaa ni mkurya,nikampatia kwa madai ya kunipa kesho yake jioni sasa mimi nimekaa almost kama wiki hivi jamaa hajiongezi mmh nikasema kama alivokuja kunigongea na mimi ngoja niende japo hakikua kiasi kikubwa cha ela ila sikuona umuhimu wa kunyamaza kwan halikua patano letu unajua jamaa alinijibuje sasa mimi unanidaije wakati sina(imagne kwa lugha ya kikurya) mpaka naondoka sikumdai
wewe ushafanyiwaga ubabe gani?
tabia ya mtu haina uhusiano na kabila wala dini.
....hahaahaaa masai dada .uko poa...??
Waliosema "kukopa sherehe,kulipa matanga" hawakukosea. ....
acha tu ndugu yaan jamaa kila siku anaenda kazini mpaka leo huwa nasema kulipa deni kipaji sio uwezo
...nimependa hako kaubabe,ladies mko powerfull kama mkiwezeshwa, so usiogope bhana dai chako...niko poaaaaa sana ,you?
huo ukauzu tu...
Mura kama huna makovu usoni wewe siyo Mura..........na yakiwa mgongoni pia wewe siyo mura maana ulikuwa unakimbia vita............sisi Mura hatukimbii ngeu.........
Haroo broo nitakuripa nini wakati hera sina...!?