Kuna watu ni makatili kwa watoto

Kuna watu ni makatili kwa watoto

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
6f66cfc127d376bfa96030fca4ed69ae.jpg

Kipigo chote hicho nasikia ni baada ya huyo mtoto kupoteza yeboyebo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nikutolee mahari, nikuvalishe, nikulishe, nikupe mimba unizalie mtoto alaf umpige kiasi hiki?

Haki ya nani, siku hiyo ndo utajua kwanini kuku anakunywa maji lakini hakojoi.

Pumbav wahed

- KANA -
 
Mkuu Mimi huwa ni mgumu kutokwa na machozi ila hii picha imetoa machozi. Sijui kama ingekuwa ndiyo Mwanangu Junior kafanyiwa hivyo sasa hivi GENTAMYCINE ningekuwa wapi katika moja ya Majengo Makuu ya Serikali la Gerezani au Mortuary kabisa. Mwanamume nimehangaika kula Karanga mbichi, Mihogo mibichi, Tambi, Vitunguu, Maparachichi na Maziwa ya Mtindi ndipo nikamkojolea Mtu akanibebea Mwanangu tumboni kwa miezi Kenda / Tisa kisha Mpuuzi mmoja tu anakuja kunitesea hivyo Junior wangu. Hii picha imenifanya hata usiku huu hamu ya Kumbandua / Kumfanya / Kumngono Mamsapu wangu / Shemela wenu ipotee kabisa!
 
Daaa af huyu mtoto hana afya. Yaani mwili wake na kichwa chake haviendani kabisa. Inaelekea ana nyanyaswa sana yani. Af katoto kazur kweli.
Yani kende zangu zinatetemeka sana mm kama mzazi mtarajiwa af mwanangu apigwe hiv

Pole sana

Umesahau Pweza Mkuu!!!!
 
Inasikitisha kwa ukatili, inaonesha aliyafanya ukatili huu hajachukuliwa hata yoyote
 
Yani nikutolee mahari, nikuvalishe, nikulishe, nikupe mimba unizalie mtoto alaf umpige kiasi hiki?

Haki ya nani, siku hiyo ndo utajua kwanini kuku anakunywa maji lakini hakojoi.

Pumbav wahed

- KANA -

Kama ni mama mtoto kafanya hivi, Screw her vizuri tu!

Nimeshindwa hata kuangalia mara mbili.
 
Back
Top Bottom