Kuna watu huwa mnamwabudu sana huyu jamaa

Status
Not open for further replies.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Mwigizaji BRIAN DECON aliyeigiza Filamu ya YESU.

11223848_1000920169990170_1648630137573544656_n.jpg

Kuna watu wamechukua picha ya kijana huyu na kuweka kwenye nyumba zao wakiamini ni MUNGU, huu ni ujinga mkubwa kiwango cha ajabu!
 
Asigwa acha uongo... Hiyo ya kuja Kilimanjaro kupanda Mlima watu wakataka kugusa nguo zake..sio ukweliii
 
Tatizo mmekalilishwa wakri wa kweli hawaamini ktk picha video zinazo muonyesha huyo mtu ni wale wakristo magumashi tu ndo wanaosadiki upuuzi huo
 
Dini zingine za hovyo sana hapa Duniani
Waparoko huenda Kuipigia goti hii picha ya Holywood actor na Kuiomba iwasamehe madhambi yao ya zinaa. Na wengine wanaiomba iwafanyie mpango wapate kazi na Kuwaponya Maradhi ya zinaa.
Matokeo yake wanakufa na Maradhi yanayotibika.

Yaani Ni balaa.
Halafu tukiwapa Ushauri wanatukana na kutuona sisi wabaya.
 
Mwigizaji BRIAN DECON aliyeigiza Filamu ya YESU.

11223848_1000920169990170_1648630137573544656_n.jpg

Kuna watu wamechukua picha ya kijana huyu na kuweka kwenye nyumba zao wakiamini ni MUNGU, huu ni ujinga mkubwa kiwango cha ajabu!

Juzi juzi alikuja hapa Tanzania kupanda mlima Kilimanjaro, raia walijipanga barabarani wakisujudu na kutamani kugusa hata nguo zake tu, mpaka jamaa akawa mkali.
Kuna kitu unakitafuta na muda si mrefu utakipata, ngoja waje.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom