Kuna mzee mmoja katika harakati za kutafuta life akajikuta ameangukia katika kazi ya kuwa mtu wa mochwari, kazi yake ikiwa
a.kupokea maiti mpya, kuzipanga chini kwqnza kablaa ya kuziweka kwenye mafriji.
b. Kutoa maiti zilizofatwa ili zikazikwe na wanandugu zao
c. Kuosha maiti kwa wale watao hitaji huduma hiii.
d. Kuzika maiti hasa za vichanga ambao ndugu zengine huwa hawaendi nazo kwa ajili ya mazishi.
e.pia anakuwa kama mlinzi wa maiti hizo, maana hufanya ukaguzi na kuzingalia kwa kipindi atacho kuwa hapo.
Huyu mzee kumbwa na mengi hata kupelekea kukimbia siku yake ya shift usiku, ila ngoja twende kwenye topic
haliwahi sema kuna strong willing ambayo watu wanakuwa nayo zinazofanya kuto kubali kufa, au kutotaka kufa kwa wakati huo, au kuna ambao waliweka nadhiri kwenye task au jukumu kuwa hawezi kufa hadi akamilishe, sasa mauti inapo mkuta hapo stil mindi na willing yake inakuwa hazijafa kabisa. Mara nyingi watu hawa huwa ni wanafanyiwa mchezo na wenzao. Kuna kisa alikitolea mfano, Kuna mtu alikuwa anafanyaga mazoez daily, na yey husema lazima amalize round kadhaa ndio apumzke, sasa huyu mtu alipigwa kitu wakati wa mazoezi, akapelekew mochwari lakini alipofika kuna muda aliamka na kuzungumza kuwa ngoja nimalizie round 2 za mwisho, jamaa kaon mengj so hakuon na hajashangazw akamwambia nakusihi ufanye haraka, yule mtu akasimam aka kimbia mule rum, haoa na pale baada ya hapo aka nyoooka mazima, so similar case kama hizi hutokea zingine hazisemi zinafanya tu.
Pia akasema kuna strong will ya kukataa kifo baada ya kuona uchafu au madhambi aliyoyafanya kuwa ni mengi na kujua fika huko aendaki ni kubaya sana, hii hutokea hasa kwa wachawi au wauaji na majambazi sugu. Kuna bibi alifariki alipo pelekw pale baada ya kuumwa muda mrefu sana, majirani ndio waliokuw wanasaidia kuingiza mwili lakini kuna manen walikuw wakizungumza kuhusu skendo na tabia za marehem ikiwemo uchawi, cha ajabu baada ya hao kutoka room yule bib wakati wanafunikwa vzuri usoni alimkamata muhudumu wa michwari akilalamika kuwa kwanini wanatoa siri zake, akisema anamwonyesh wote hadi yey, ila muhudum alimjib sasa umeshafariki baki na aman na manen mengine meng mengi akaachiwa bibi akajinyoosha.
Ila ishu kama mtu ukiwa na unfinished task ambayo ulikweka nadhiri kuwa utaifanya stil mind itakuwa conditioned kuwa active, dats why inasemekana duration inayochukua ubongo wa binadam kuganda au kufa ina tofautian after mauti kufika nahisi ishu ya kuwa determined kweny task fulan itaingia hapaa,
mshana jr
Safi sana merengo90 unajua mwili ukishapoa na pumzi kusimama moja kwa moja haimaanishi kwamba ile conscious mind nayo inakufa hapana ile ndio hubaki milele yani ni kama software ya binadamu
Mkuu Asprin hiii hutokea zungumza na watu hao kama wakiwa wiling kukwambia,utajuzwa mengi.
Jamaa alinambia na kusema mengi sana, umewah exprience kusikia sauti zozote mule ndani ??? esp ukiwa peke yako, je, ww wajua nin kuhusu maiti za watu waliochukuliwa kama msukule zinavyokuwa ??
Jamaa alinambia na kusema mengi sana, umewah exprience kusikia sauti zozote mule ndani ??? esp ukiwa peke yako, je, ww wajua nin kuhusu maiti za watu waliochukuliwa kama msukule zinavyokuwa ??
Hao watu na wanyongaji sitaki hata kuwa karibu nao.
Kuna mmoja juzi nimemsikia ameshamega warembo zaidi ya 50. Yani kakiri kabisa kwenye interview....
Sasa huyu ni mtu wa kumzoea??
Hao watu na wanyongaji sitaki hata kuwa karibu nao.
Kuna mmoja juzi nimemsikia ameshamega warembo zaidi ya 50. Yani kakiri kabisa kwenye interview....
Sasa huyu ni mtu wa kumzoea??
Usitake kuniambia mshana jr anafanya kazi mochware....
Mochwari sio kivile ngoma iko makaburini hasa usiku kuna maisha yanaendelea kule na kuna mambo yanatisha mno nimeshajaribu kwenda makaburini usiku karibia mara 3 hivi lakini mara zote nilishindwa kumaliza session
Maiti za watu waliochukuliwa misukule kule mochwari huwa hazipoi na kuna wakati zinanyumbulika na kubadilikabadilika
Muulize mkuu, ila mbona hata Madokta wanakutan na kudeal sana na maitiUsitake kuniambia mshana jr anafanya kazi mochware....
Unajua ile kazi ukiifanya na ukaridhika lazima akili,utashi wa kawaida unakutoka flani hivi unakuwa sio mzima smtimes, ila wale ambao wamekimbia hizo kazi wapo timamu kabisa na wanaweza changaman fresh hawana shida. Kuna mzee mmoja anafanya hapo lugalo, yani hazimo fresh kichwani. Bt hana madhara
Niliwahi lakini nilikuwa masomoni sikuwahi kufanya kama ajira
Aisee....
Na makaburini ulienda kufanya session gani??
Kuna mmama mmoja pale KCMC simpatii picha. Tumeenda kuchukua maiti mochware attendant haonekani. Tumesubiri kama masaa matatu hivi.... mara mlango wa mochware ukafunguka.... Akatuomba samahani alipitiwa na usingizi...
Unawezaje kulala na maiti kwa mfano? Yani na usingizi unakuja kabisaaa?? Afu mwanamke.
Nilimvulia kofia
Hawaendi mbili hupiga hatua moja au mbili na kuanguka na kufariki mazima au wengine hawasogei hata hatua moja
Kumbe ni kweli wafanyakazi wa mochwari huwa mnawamalizia ndugu zetu ambao walikua hawajafa bali wamezimia.
Kuna daktari aliwahi kusema kutokana na uzembe wa watoa tiba wetu na vifaa vibofu watu wengi wakizimia huzaniwa wamekufa.
Ni hospitali ngapi tz zina vile vifaa vya kustua mapigo ya moyo?
Au labda kama umeongelea nchi ambayo sio tz ila ina umasikini sawa na tz tu.
mmh asprin si ndio mambo hayo hayo ya kutafiti kuhusu kifo? Yani kuna wakati ilikuwa ni lazima utengeneze habari kamili kuanzia uzima ugonjwa mpaka kifo cha mtu fulani na yatokanayo na kifo hicho baada ya mazishi na watu wote kuondoka....! Hizi habari za makaburini usiku si habari zenye afya sana tuziache tu hivi hivi. ...!!!!