Kuna Watu Donge linawakaba kwa hii Picha!

Kuna Watu Donge linawakaba kwa hii Picha!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kuna baadhi ya watu wakiiona hii picha hapo chini watatamani wafe kwa chuki na roho mbaya, wakimuona mama Sofia Simba pamoja na Raisi Mtarajiwa Bw.Magufuli wakiwa pamoja na wana furaha na Amani, hawapendi kabisa lakini ndiyo hivyo Mungu ana mpango maalumu na hii Nchi ya Tanzania!

sofia.jpg
 
Mkuu ulijuaje, nawasubiri wahame hawahami. Wajiandaw kushughulikiwa tu baada ya October
 
Sophia Simba na wenzake ni wanafiki watupu. Anategemea Magufuli ampe Uwaziri wa bure kama JK?
 
Hii ndo maana ya Umoja ni nguvu ila msimtelekeze sana Yule Mzee wa Kimasai bado anahitaji Faraja toka kwenu, Pia Kingunge asahau yaliyopita Alichoahidi patachimbika pamekuwa mlima badala ya Shimo, Sadifa yule Mzanzibar aliyekuwa anatamba kuwa hakuna jina litalokatwa kijinga yeye hata harufu yake haisikiki. Nchimbi ajitokeze bana tumemmis
 
Hiyo ndiyo siasa "No permenet friend or enemy"
 
Sofia kakutuma umsafishe au? Kwani sisi ndo tuliwatuma waseme "CC imekata majina ya wanaokubalika kwa faida ya wasiokubalika"? Waache kihoro cha mapema. Kama hawana ngoma ya kucheza waambie wakaicheze segere wakati wanasubiri mziki wa bulldozer!
 
Hawakujua wana nguvu kiasi gani. sasa inakula kwao, yule mzee alisema patachimbika, kumbe hata uwezo wa kupachimba alikuwa hana. Sasa anaona aibu, na kajimaliza kisiasa na heshima aliyokuwa ameijenga yote imepotea kwa kuingia katika ushabiki asioujua. Sasa naona Sofia Simba kishamkimbia mzee wa watu, wangeenda kukusanyika kwake ili angalau wampe faraja.
 
Kuna baadhi ya watu wakiiona hii picha hapo chini watatamani wafe kwa chuki na roho mbaya, wakimuona mama Sofia Simba pmj na Raisi Mtarajiwa Bw.Magufuli wakiwa pamoja na wana furaha na Amani, hawapendi kabisa lkn ndiyo hivyo Mungu ana mpango maalumu na hii Nchi ya TanZania!

We usimsingizie Mungu na hao wez wakubwa
 
Hawa watu wa safari ya matumaini ni wa ajabu au pengine unaweza kuwaita 'wanafiki'. Walilalamika kukiukwa kwa taratibu na kanuni za chama chao katika mchujo wa kuwapata watano. Sasa baada ya uteuzi wa mwisho kati ya hao watano waliopatikana 'isivyo halali'; sasa ni halali na wanamuungamkono. Maajabu ya dunia! Nafikiri Simba, Nchimbi na mwenzake Kimbisa wanjiaibisha zaidi kufanya hivi au hata kuonyesha tu kuwa wanamuunga mkono mteuliwa wa CCM. Wangekaa kimya au kujitenga naye.
 
Mara nyingi njaa ndo huwa inatufanya tuongee au kufanya mambo tofauti kabisa na matakwa ya mioyo yetu, sio siasani pekee hata ifisini kwenye nyumba za ibada, i can say everywhere...

Ndo zile za baba anapenda mboga na sio baba anakomba mboga,,,

Boss hajafika while ukweli ni kwamba boss kachelewa
 
Sofia Simba anajigandisha apate ulaji. Wao si ndo walipinga na kusambaza sumu. Hata akioga wizarani harudi...
 
Huyu SI alituambia Lowasa ndo mwanaume pekee❔❔❔
 
Kuna baadhi ya watu wakiiona hii picha hapo chini watatamani wafe kwa chuki na roho mbaya, wakimuona mama Sofia Simba pamoja na Raisi Mtarajiwa Bw.Magufuli wakiwa pamoja na wana furaha na Amani, hawapendi kabisa lakini ndiyo hivyo Mungu ana mpango maalumu na hii Nchi ya Tanzania!

nawaoane basi! huzioni sura za kinafiki hizo?
 
Kuna baadhi ya watu wakiiona hii picha hapo chini watatamani wafe kwa chuki na roho mbaya, wakimuona mama Sofia Simba pamoja na Raisi Mtarajiwa Bw.Magufuli wakiwa pamoja na wana furaha na Amani, hawapendi kabisa lakini ndiyo hivyo Mungu ana mpango maalumu na hii Nchi ya Tanzania!

Mama Sofia Simba akili mukichwa!
Anajua kuwa Lowassa kwisha kazi na hana mashiko.
Na akitaka cheo katika utawala wa Magufuli lazima ajikombe.

Wameshatambua kuwa walicho ahidiwa na Lowassa sasa hakipo kabisa.
 
Back
Top Bottom