najua katika sisi binadamu ni kawaida kukuta mashoga na watu wasio na uwezo wa kuzalisha au kuzaa je hii pia iko kwa wanyama?? tunae ng`ombe au mbwa au ndege etc wenye ugonjwa au mapungufu aya? if not why not them too???
Naomba kuwakilisha!!!!!
wapo wengi tu! fisiolojia ya uzazi(reproductive physiology) kwa mwanadamu na wanyama ni almost the same na kuna kundi la binadamu linaloingia kwenye ushoga kwa sababu za kifioloji so kwa maantiki hiyo na wanyama pia. mathalani pia hutokea kwa wanyama mfano zizi la ng'ombe madume tupu (mfano kwenye ranchi) au banda la majogoo tupu (breeding stock) ambapo madume/majogoo huwa na ukame wa ngono akitoke mwenzao mmoja kazubaa humfanya mke wao (bulling) (scenario kama ya magerezani) lakini kwa wanyama,anayefanyiwa mchezo huu katika mazingira haya huwa hadumu sana-anakufa maana hapo hakuna ustaaarabu.