Kuna wanawake wanajua kulea watoto.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,204
Reaction score
14,393
Hakuna kitu nafurahia kama kupishana na mwanamke akiwa na mtoto wake wote wakiwa nadhifu na wamependeza unaona kuna combination na bond nzuri kati ya mama na mtoto.

Kazi ipo hapa unakutana na mwanamke yeye kapendeza kwa nguo nzuri lakini mtoto yuko hovyo amemvalisha vinguo vilivyochakaa mtoto yupo yupo amekosa lishe lakini unakuta mama mtu mwili mkubwa kasuka manywele ya gharama lakini kashindwa kutoa hata mia tano ya kumpeleka mtoto wake saluni kunyoa kipilipili.

Wakuu sio kila sehemu pakumwagia ndani.
 
Mungu ameweka kitu cha kipekee sana kati ya mama na mtoto....

Ukiona ndivyo sivyo kati ya mama na mtoto, ujue kuna na shida mahala, si bure.













Hiyo picha ya kwanza, ina mabano 😊😇.

Taswira hufikisha ujumbe zaidi ya maneno.

Bi Kasinde.
 


Picha zina habari nyuma yake...

Pia kuna tofauti kati ya muonekano kwa ajili ya photoshoot na muonekano wa taswira ya kila siku /uhalisia wa maisha...
















Mshana Jr
 
Sure wapo wamama wanaopenda attention kwenye social media ila uhalisia unakuwa ni tofauti hao nao ni wamama wa hovyo.

Blessings za kutosha kwa mama wote wanaoweka watoto wao kwanza afu ndio yanafuata mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…