Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,962
Wakuu,
Ni furaha ilioje jioni hii ya leo nikiwa nimerudi toka mahangaikoni nimechoka vibaya mno, kuna bibie ana siku ya 3 yupo hapa kwangu.
Sitaki kusema ni new project, ila ni msichana fulani hivi hua ananipa utamu mara kwa mara ila sio msichana official.
Toka juzi nala vitu humu ndani hadi navunja sheria ya gym sasa maana nafanya mazoezi ni diet, sasa huyu mdada naona kaja niharibia kabisa manake sio kwa mapishi haya, nikigeuka huku mara chapati, mara wali, maana mi napenda sana wali maharage kachumbali na kipande cha kuku, sasa huyu mwanamke kwakweli, sijawai pata mwanamke anajituma kama huyu.
Ila sasa wala hayupo akilini kwamba ndo aje kua mke, hebu ngoja nijitafakari nimfanye msichana official au vipi manake kwakweli anashughulika na ni kazuri kweli.