Kuna wanawake wana visanga!

Kuna wanawake wana visanga!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Kwanza nianze kwa kukiri moja kwa moja tukio hili limenikuta Mimi na wala kama sio wana jamii forum wengine huwa wanatumia neno jamaa yangu wakati ni wao wenyewe!
Ni hizi mwezi uliopita nilikutana na manzi mmoja hivi matata nikasaundisha fasta baada ya wiki akaja ghetto nikala papuchi!
Kama ilivyo kawaida yangu ndani ya wiki moja nikaakikisha nimekula papuchi Mara 5
Baada ya kuijua kila engo ya papuchi yake nikaona sasa ni wakati muafaka wa kumpiga chini na kuwa busy na kujenga viwanda vingine!
Sasa Demu akawa akipiga sipokei SMS sijibu wala nini!
Sasa Leo tumekutana gafla town sehemu ya watu wengi Demu akaniita nikamwambia sitaki mazoea,Mara kwa hasira akaja kunikunja shati huku watu wakishuudia nikataka nimpige vichwa vya kutosha lkn pembeni yangu niliona police wapo kama mita 50,nikaona hapa nikimpiga tu kwanza nitajaza watu wengi sana na police nitawapa faida!
Basi nikawa mpole,nikamwambia bibie kwani vipi?
Akasema alikuwa ananipigia ila sipokea wakati ana mimba yangu tena kwa sauti ya juu watu wote wanasikia bila chenga!
Kwahiyo akaniambia hapo hawezi kuniachia shati hata iweje hadi twende wote hospital tukahakikishe hiyo mimba ama nimpe 50k akatoe!
Mzee kwa ile fedhea na baadhi ya wasamaria wema kuingilia kati ikabidi tu kishingo upande nifanye mpango wa huo muamala ndio Mzee kuachiwa kinyonge huyo nikasepa!
Na nikamblock kabisa na nikamwambia tusijuane milele!
Hicho ni kisanga kilichonikuta Leo
 
Hadithi yako inatufundisha nini? Wewe na huyo mwanamke nani alianza visanga?
 
Uliogopa nini ?
Ukakubali kudhalilishwa 😈😈😈
na 50 ukatoa !!😈
Kudadeki wewe lazima ni mwanaume wa dar
 
usikimbie majukumu mwenye kisanga ni wewe sio yeye shubaamit!
 
kumblock haisaidii 50 imekutoka bila kupigiwa simu jiandae kwa pigo no 2,tuendelee kujenga viwanda mkuu
 
Unashindwa hata kumchapa makonde mpige hata teke la tumbo au ngumi ya ziwa au pua anakuachia

Au pale anakukunja shati na wewe ungeishika sketi yake na kuipandisha juu unamzalilisha mbona simple tu umtie aibu unashindwa nn mwanaume wa dar

Hata kumpiga vichwa ulishindwa
 
Acha kukimbia majukumu kijana. Tena nampongeza huyo dasa maana ww unaonekana ni jihuni moja hapo mjin ambalo linadhani kuwa linamiliki wanawake wote
Kwanza nianze kwa kukiri moja kwa moja tukio hili limenikuta Mimi na wala kama sio wana jamii forum wengine huwa wanatumia neno jamaa yangu wakati ni wao wenyewe!
Ni hizi mwezi uliopita nilikutana na manzi mmoja hivi matata nikasaundisha fasta baada ya wiki akaja ghetto nikala papuchi!
Kama ilivyo kawaida yangu ndani ya wiki moja nikaakikisha nimekula papuchi Mara 5
Baada ya kuijua kila engo ya papuchi yake nikaona sasa ni wakati muafaka wa kumpiga chini na kuwa busy na kujenga viwanda vingine!
Sasa Demu akawa akipiga sipokei SMS sijibu wala nini!
Sasa Leo tumekutana gafla town sehemu ya watu wengi Demu akaniita nikamwambia sitaki mazoea,Mara kwa hasira akaja kunikunja shati huku watu wakishuudia nikataka nimpige vichwa vya kutosha lkn pembeni yangu niliona police wapo kama mita 50,nikaona hapa nikimpiga tu kwanza nitajaza watu wengi sana na police nitawapa faida!
Basi nikawa mpole,nikamwambia bibie kwani vipi?
Akasema alikuwa ananipigia ila sipokea wakati ana mimba yangu tena kwa sauti ya juu watu wote wanasikia bila chenga!
Kwahiyo akaniambia hapo hawezi kuniachia shati hata iweje hadi twende wote hospital tukahakikishe hiyo mimba ama nimpe 50k akatoe!
Mzee kwa ile fedhea na baadhi ya wasamaria wema kuingilia kati ikabidi tu kishingo upande nifanye mpango wa huo muamala ndio Mzee kuachiwa kinyonge huyo nikasepa!
Na nikamblock kabisa na nikamwambia tusijuane milele!
Hicho ni kisanga kilichonikuta Leo
 
Kwanza wewe ni mzembe kwa kiwango cha lami.
1. Kufanya ngono zembe, umehatarisha afya yako.
2. Kukubali kutoa mimba, hapa umeshiriki tendo la kuua.
3. Wewe ni mshamba kwa kuleta uzi wa kijinga kama huu.

Mwisho. Tuendelee kuomboleza vifo vya ndugu zetu walioteketea kwa moto huko Moro
 
"akakukunja shati akitaka muende hospital kupima au umpe ela akatoe mimba"
 
Hahaha full uswahili aise Daah !!!! Honestly nikiwa kwenye mahusiano na gal yeyote then nikaona kuwa mahusiano hayo hayana tena tija hivyo na paswa kuachana nae aise huwa siwezi kumuambia hata kidogo. .maana Kuna watu wengine Wana mioyo dhaifu wanaweza hata kujiua
 
Uliogopa nini ?
Ukakubali kudhalilishwa 😈😈😈
na 50 ukatoa !!😈
Kudadeki wewe lazima ni mwanaume wa dar

Polisi eneo la tukio, ameamua kulipa pungufu, wewe kweli wa mkoa, ungefanya uwe na rekodi ya kumpiga, ikiashiria uhusiano, kinachofuata Makonda. Hii ni marathon sio mita 100, usiseme mwanaume wa dar, sema mwanaume wa bongo.
Nishukuru kesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom