Kuna wanawake kazi sana kuishi nao

Kuna wanawake wanajielewa aisee.

Haombi hela hadi mwanaume unajishtukia
 

Attachments

  • Screenshot_20240111-122658_1.jpg
    Screenshot_20240111-122658_1.jpg
    15.4 KB · Views: 2
Huyo wa kwanza anaye sema we malayer uko wapi ni demu wangu kabisa na muda mwingine ananiita chizi, ningempigaga chini ila shida ana hulka zote za kike , anajua majukumu yake kama mwanamke na ni wife material kabisa sijui kwa vile kakulia chuga mitaa migumu.
 
Back
Top Bottom