Kuna wanaume mnajitafutia matatzo wenyewe

Kuna wanaume mnajitafutia matatzo wenyewe

KUNA WANAUME MNAJITAFUTIA MATATZO WENYEWE,

Mnadate mademu wasio size yenu...Huwezi kuwa na Kitambi ukavaa Skin Jeans.Utachekesha... Mlinzi wa KK security hawezi kumiliki Vogue,atapata wapi mafuta??Tanunua tu Baiskeli...

Chagua Level yako...Kama una life la Kuungaunga tafuta tu demu uswahilini,hawaombi hela zaidi ya elfu 20...sanasana vocha ya mia 5...
Ukichagua demu Mwanafunzi jiandae na Mizinga....Jiandae kusupport BOOM likichelewa...Utaombwa hela ya Disco...Babe twende Movie.. Ukichagua demu Corporate uwe umetulia haswaa...Akiumwa haendi Zahanati,Bebi nipeleke Burhani,au kwa Specialist wangu..utakoma....hakawii kusema BAbe naomba hata japo Toyota Vitz jamani huoni nateseka Usafiri..utatoa macho kama Mende kawashiwa taa ya Stoo...
Yaani anaomba Vitz kama anaomba hela ya Modem....Kazi kwako! Status hii imejiposti kutoka kinondoni na natabiri kabla ya giza kuingia wale Vilaza watakuwa
washakopi..

yan kwenye kirumba umeweka kinondoni,asante kwa kusaidia wengine kusoma
 
Hakuna formular my dia, wapo waliowatongoza na wakawapata vile vile

Unaongea reality, hapa kwa sababu hatuonani sometimes watu wanachangia point za uongo. Mapenzi ni changanyikeni tu! Mwwenye nazo anamhonga dem classic, na dem classic anamuhonga kapuku wa fedha lakini tajiri ya mechi, naye huyo kapuku anachukua hizo pesa anapmpunguzia makali ya maisha dem wa uswazi.
 
Watu wanakosea sana kuweka formular kwenye swala la nani awe na nani.....mwisho wa siku linabaki kuwa la mtu binafsi kwani huwezi litengenezea formular
 
Watu wanakosea sana kuweka formular kwenye swala la nani awe na nani.....mwisho wa siku linabaki kuwa la mtu binafsi kwani huwezi litengenezea formular
Unalosema ni kweli lakini tukubaliane na ukweli kwamba lipo!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kiukweli bro mzbzb sitaki kukuonyesha nakusifia upstair yako lakini i can see ur settled!but waswas wangu ni kwamba unayoyaongeaga ndiyo unayoyatenda?kama huyatendi kuna watu wa kila namna humu jf ambao wengi hawana uwezo wa kuprocess info na kuona kama huyu mtu anafanya utani au yupo serious ivo wanaact huoni kwamba utalaumika kwa kuharibu minor minds?
 
This is real man

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nani kakuambia watu ukichagua mwanamke wa level zako ndo hamna matatizo? Wangapi wameoa wanawake wa level zao ila bado wanachapiwa wake zao mpaka sura inageukia nyuma?

Mafogo wangapi wametafuta mafogo wenzao na kuwaoa ila siku si nyingi unakuta mwanamke anachapwa fimbo vichochoroni?

Hamna formula katika mapenzi, cha muhimu ni mtu ampate tu yule anayeendana nae kitabia tu.
hela hunaaa,sura nzuri hunaaa ata demu mzurii pia kuanae tabu....
 
Kudadadek huyu mwekundu topic zake dah lakini ndo jf yetu hii aka no stress baada ya dibaji naingia kwene mada mimi sioni problema wa masaki akitoka na wa kwa mtogole coz love doesnt ask why halafu mbona mapenzi ni issue rahisi sana lakini unakuta machz wanacomplicate kitaa hadi nguo wanaazima ili wawaimpress madem zao hao wa kishua mimi nimeshalichuguza sana hili(no research no right 2 speak) mademu hakuna kitu wasichokipenda kama mtu kujifake unakuta mtu kwao hamna fridge lakini anajifanya anazjua sana ice cream za bakhresa,mtu kwao hamna umeme lakini anakuhadithia maria clara toka episode ya kwanza mpaka mwisho,mtu kwao hamna gari anajifanya anazijua brand mbalimbali za range rover kama sio upuuz ni nini??????? wewe kaa kawaida tu ili demu akikupenda akupende ulivyo either maskn or mwenye uwezo sio unamfanya apende mimbwembwe yako ya kiboya halafu mwisho wa siku akitaka kukutembelea kwenu unamkimbia, madem wanapenda sana kumjua mtu so we jiweke kama ulivyo bila make ups za kishamba then utaona dem atakavyokukubali na kukuheshimu hata kama kwenu nyama ndo utumbo na samaki ndo dagaa.Nawasilisha wakuu
 
Not really,mbona rafiki yangu rubani kaoa mtoto wa uswazi tmk na wanakwenda sawa? There is no formula ,it depends on the way u manipulate and handle relationship
 
kumbe mzabzab uko timamu?hahhaha naomba range?hata baiskeli huna

yea yuko timamu kabisa ila sema kuna tarehe fulani hivi katika mwezi huwa hawagi timamu zaidi zaidi huwa anabebwa na ile signature yake pale chini "when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!!" katika hili huyu ndugu yangu mzabuzabu ni extra ordinary genious!!!!!!
 
dawa ni moja ukishamla basi piga chini maana baada ya kumpata kutakua hakuna kipya unachotaka!!! kwanza wazuri sana wanakau wachovu bed maaana wanadhan uzur wao ni insurance policy tosha kumbe ukishampata hata once anakua kama wengine tu machoni mwako!!
 
mmmmmh!!!!! da kazi ninayo eti nimeshindwa elewa uliposema ladha unamaanisha nini?..

kiswahili kilichelewa kufika huku mabonde kuinama,,, najua umeelewa japo kwa shida!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom