Kuna wanaume mnajitafutia matatzo wenyewe

Mkuu wewe acha tu, kuna rafiki yangu alipata shida sana, mimi nikawa namshauri apige mzigo chini lakini wapii..
Hadi leo mzigo anao lakini amejaa majeraha hatamaniki.. teh teh...
Kapigwa mkuu?au kafulia?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Awe wa matawi ya juu au ya chini mbunye ni ile ile, matiti ni yale yale........na hao hao matawi ndio wanachapwa sana na mashamba boy, wapaka kucha rangi na wauza mboga mboga. Swala la mapenzi au sex halina formular kwamba eti wa masaki afwatane na wa masaki wenzake, na wauswazi ambao ni wa kuunga unga wafwatane na wa design hiyo

Tatizo kubwa ni wadada wengi kufanya papuchi zao kama mtaji na wanaume wengi kukosa kujiamini.
 
Sijaelewa mada vzr....ila mademu wa kibongo(sio wote)...wanapenda maisha ya kufikirika sana...kwani ukiwa mwanamke ni lazima kipengele CHA KUHOGWA kiwepo...?...inanishangaz sana wakati mwingine....
 
KUNA WANAUME MNAJITAFUTIA MATATZO WENYEWE,

Mnadate mademu wasio size yenu...Huwezi kuwa na Kitambi ukavaa Skin Jeans.Utachekesha... Mlinzi wa KK security hawezi kumiliki Vogue,atapata wapi mafuta??Tanunua tu Baiskeli...

Chagua Level yako...Kama una life la Kuungaunga tafuta tu demu uswahilini,hawaombi hela zaidi ya elfu 20...sanasana vocha ya mia 5...
Ukichagua demu Mwanafunzi jiandae na Mizinga....Jiandae kusupport BOOM likichelewa...Utaombwa hela ya Disco...Babe twende Movie.. Ukichagua demu Corporate uwe umetulia haswaa...Akiumwa haendi Zahanati,Bebi nipeleke Burhani,au kwa Specialist wangu..utakoma....hakawii kusema BAbe naomba hata japo Toyota Vitz jamani huoni nateseka Usafiri..utatoa macho kama Mende kawashiwa taa ya Stoo...
Yaani anaomba Vitz kama anaomba hela ya Modem....Kazi kwako! Status hii imejiposti kutoka kinondoni na natabiri kabla ya giza kuingia wale Vilaza watakuwa
washakopi..

Sista gfsonwin njoo usome nilichokuwa namaanisha siku ile kwenye ile comment yangu!!!! mwekundu kaeleza hapa kila kitu
 
Mkuu wewe acha tu, kuna rafiki yangu alipata shida sana, mimi nikawa namshauri apige mzigo chini lakini wapii..
Hadi leo mzigo anao lakini amejaa majeraha hatamaniki.. teh teh...

mi mwenyewe ninaye wa hivyo hadi nimeamua kumuacha afe na zigo lake!
 
KUNA WANAUME MNAJITAFUTIA MATATZO WENYEWE,

Mnadate mademu wasio size yenu...Huwezi kuwa na Kitambi ukavaa Skin Jeans.Utachekesha... Mlinzi wa KK security hawezi kumiliki Vogue,atapata wapi mafuta??Tanunua tu Baiskeli...

Chagua Level yako...Kama una life la Kuungaunga tafuta tu demu uswahilini,hawaombi hela zaidi ya elfu 20...sanasana vocha ya mia 5...
Ukichagua demu Mwanafunzi jiandae na Mizinga....Jiandae kusupport BOOM likichelewa...Utaombwa hela ya Disco...Babe twende Movie.. Ukichagua demu Corporate uwe umetulia haswaa...Akiumwa haendi Zahanati,Bebi nipeleke Burhani,au kwa Specialist wangu..utakoma....hakawii kusema BAbe naomba hata japo Toyota Vitz jamani huoni nateseka Usafiri..utatoa macho kama Mende kawashiwa taa ya Stoo...
Yaani anaomba Vitz kama anaomba hela ya Modem....Kazi kwako! Status hii imejiposti kutoka kinondoni na natabiri kabla ya giza kuingia wale Vilaza watakuwa
washakopi..

mimi nilifikiri type hii anajimudu kidogo hana matatizo madogomadogo kumbe hata hawa full mizinga!!!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
KUNA WANAUME MNAJITAFUTIA MATATZO WENYEWE,

Mnadate mademu wasio size yenu...Huwezi kuwa na Kitambi ukavaa Skin Jeans.Utachekesha... Mlinzi wa KK security hawezi kumiliki Vogue,atapata wapi mafuta??Tanunua tu Baiskeli...

Chagua Level yako...Kama una life la Kuungaunga tafuta tu demu uswahilini,hawaombi hela zaidi ya elfu 20...sanasana vocha ya mia 5...
Ukichagua demu Mwanafunzi jiandae na Mizinga....Jiandae kusupport BOOM likichelewa...Utaombwa hela ya Disco...Babe twende Movie.. Ukichagua demu Corporate uwe umetulia haswaa...Akiumwa haendi Zahanati,Bebi nipeleke Burhani,au kwa Specialist wangu..utakoma....hakawii kusema BAbe naomba hata japo Toyota Vitz jamani huoni nateseka Usafiri..utatoa macho kama Mende kawashiwa taa ya Stoo...
Yaani anaomba Vitz kama anaomba hela ya Modem....Kazi kwako! Status hii imejiposti kutoka kinondoni na natabiri kabla ya giza kuingia wale Vilaza watakuwa
washakopi..

We mwenyewe umeshakopi Facebook kwa Abuu Mautundu.
 
Sijaelewa mada vzr....ila mademu wa kibongo(sio wote)...wanapenda maisha ya kufikirika sana...kwani ukiwa mwanamke ni lazima kipengele CHA KUHOGWA kiwepo...?...inanishangaz sana wakati mwingine....

Yah mkuu wanapenda kuwa tegemezi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo kubwa ni wadada wengi kufanya papuchi zao kama mtaji na wanaume wengi kukosa kujiamini.
Sure mimi inaniuma sana!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbunye ni mbunye tu..Iwe nyeupe iwe nyeusi UTAMU ule ule tu...iwe ya Manzese iwe ya O'bey zote utamu kunoga...
ha ha sawa lakini tatizo mageti mengi jinsi ya kuipata!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
me na wewe jana tumeonana wapi tukazungumza.huna hata baiskel your narration speak loudly.We ushajua genetics zenu she ni problem unalazimiisha endelea utapewa three sweets daugt not two, ukizingatia sura yako hailipi ndo utajua donor ni me na sio ke,eti akupatie, toka wapi kam we huna
Mdau sio sura peke yake,hata uwe handsome vipi bila cash u r nothing!!havnt experienced it?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hizo ni njaa tu, zikipoa wataacha. Level!!? level kitu gani? Yaani mwanamke unajipa level wakati wewe ni mwanamke tu.
Acheni kujishaua.
 
KUNA WANAUME MNAJITAFUTIA MATATZO WENYEWE,

Mnadate mademu wasio size yenu...Huwezi kuwa na Kitambi ukavaa Skin Jeans.Utachekesha... Mlinzi wa KK security hawezi kumiliki Vogue,atapata wapi mafuta??Tanunua tu Baiskeli...

Chagua Level yako...Kama una life la Kuungaunga tafuta tu demu uswahilini,hawaombi hela zaidi ya elfu 20...sanasana vocha ya mia 5...
Ukichagua demu Mwanafunzi jiandae na Mizinga....Jiandae kusupport BOOM likichelewa...Utaombwa hela ya Disco...Babe twende Movie.. Ukichagua demu Corporate uwe umetulia haswaa...Akiumwa haendi Zahanati,Bebi nipeleke Burhani,au kwa Specialist wangu..utakoma....hakawii kusema BAbe naomba hata japo Toyota Vitz jamani huoni nateseka Usafiri..utatoa macho kama Mende kawashiwa taa ya Stoo...
Yaani anaomba Vitz kama anaomba hela ya Modem....Kazi kwako! Status hii imejiposti kutoka kinondoni na natabiri kabla ya giza kuingia wale Vilaza watakuwa
washakopi..

sasa huyo wa cooperate nae bado anakuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya kupata msaada?
 
  • Thanks
Reactions: LD
Back
Top Bottom