kuna wambeya ila huyu kazid!!!

kuna wambeya ila huyu kazid!!!

dr luv

Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
23
Reaction score
12
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea kweli,sometimes mtu umeboreka,hauko kwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,''anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext''
Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo??Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani??
Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa..
Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka.Shkamoo Whatsap!
 
hyo ndo inanitokea daily kwa my hun wangu,dah inakera sana aisee
 
Waona juu kule neno typing alafu huoni msg kuja lol...au typing 1 minute alafu jibu ok

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwanini kuteseka kwa kitu kilicho ndani ya uwezo wako....kama tatizo ni whatsap au mtandao wowote wa jamii....jitoe
 

ndio maana sijajiunga
cha watsup wla bbm
kwa mambo hayo ya kimbea wallah!!
ni hatareeeee!!
 
Waona juu kule neno typing alafu huoni msg kuja lol...au typing 1 minute alafu jibu ok

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kweli kabisa hiyo ya typing....... Alf jibu ok au yup duu kweli hii ni umbeya tipiko
 
kwani nyie simu zenu hazina option ya kuremove time stamp wakuuu?
 
"Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku"..... hahahahahah.....hilo ndo balaa lililonikuta, whatsapp ni noma! but iko namna ya ku-hide hiyo kitu
 
Kile kiitikio cha globalization badoo sana ukijumlisha na udigitali tena apana kitu unapata
 
nilidownload whatsapp+ lakini haina lolote! wizi mtupu haifanyi chochote. mwenye maujuzi atusaidie na sie basi
 
nilidownload whatsapp+ lakini haina lolote! wizi mtupu haifanyi chochote. mwenye maujuzi atusaidie na sie basi

zote ni kile kile ata ingekuwa whatsapp+++++ ishu ipo pale pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom