Kuna wakati wanawake wanajitakia kufanyiwa ukatili

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Dada zangu, mama zangu kama mwanaume humtaki chonde chonde usile pesa yake unaweza kufa vibaya

Jana nilishuhudia kijana mmoja mchunga ng'ombe alivyotaka kumtoa mdada roho, dogo alimtongoza mdada mtaani kwetu mdada akakubali kwa sharti la kwamba kijina amlipie dada Kodi ya chumba ndio atapewa utamu, kijana akapambana akalipa 120k miez mitatu akasubiri kupewa utamu, mdada akawa anamzungusha dogo mara leo mara kesho

Kumbe mdada ana mwanaume mwingine, siku ya siku akamwingiza mwanaume ndani kijana mchungaji akapita nyumbani kwa mwanamke akakuta viatu vya kiume mlangoni akagonga mlango akatoka kidume kifua wazi dogo mchungaji akamwita mdada, mdada akajifanya hamjui mchunga ng'ombe.

Hilo vurugu lake sio kidogo, dogo akamkamata mwanamke anataka kumuua na yule mwanaume wa huyu dada akamshka ndoo kama kachokoza nyuki dogo alivunja vunja kila kitu akabdi serikal ya mtaa iingilie kati

Funzo; wadada zetu acheni kula pesa za mwanaume km humtaki
 
Yani hapo ni stori ya dogo na mwanaume lakini bado mwanaume amewekwa kati na akavunja mazaga na ashindwe kumdhibiti?

Nafikiri ingefaa kwamba dogo ndio katoka kifua wazi baada ya mwanaume kugonga mlango.....
 
Baadhi ya wanawake wamegeuka majambazi na silaha kuu ni kitumbua.

Mpuuze mwanamke wa aina hiyo atakuletea majanga.

Anayekupa conditions sijui aikupi hadi unifanyie lile na lile hata kama ni pipi ya 200 ujue umeingia shimo la bewa
 
Dada zangu, mama zangu kama mwanaume humtaki chonde chonde usile pesa yake unaweza kufa vibaya

Jana nilishuhudia kijana mmoja mchunga ng'ombe alivyotaka kumtoa mdada roho, dogo alimtongoza mdada mtaani kwetu mdada akakubali kwa sharti la kwamba kijina amlipie dada Kodi ya chumba ndio atapewa utamu, kijana akapambana akalipa 120k miez mitatu akasubr kupewa utamu, mdada akawa anamzungusha dogo mara leo mara kesho

Kumbe mdada ana mwanaume mwingine, siku ya siku akamwingiza mwanaume ndani kijana mchungaji akapita nyumbn kwa mwanamke akakut viatu vya kiume mlangoni akagonga mlango akatok kidume kifua wazi dogo mchungaji akamwita mdada, mdada akajifanya hamjui mchunga ng'ombe Hilo vurugu lake sio kidogo, dogo akamkamata mwanamke anatak kumuua na yule mwanaume wa huyu dada akamshka ndoo kama kachokoza nyuki dogo alivunja vunja kila kitu akabdi serikal ya mtaa iingilie kati

Funzo; wadada zetu acheni kula pesa za mwanaume km humtaki
Dogo mchunga ng'ombe apewe maua yake, nimesoma nimecheka sana!!!
 
Kuna watu aanaisotea sana pesa mpaka kuipata.
Na ubaya unakuta jamaa alimpenda manzi sio kutaka utamu tu, anampa akijua anawekeza kwa wife.

Bila dogo kushauriwa vyema kuna mmoja hapo atatangulizwa akhera.
 
Dogo mchunga ng'ombe angechana Mbususu ya binti huyo malaya.
Anadhani pesa zinaokotwa.
 
Kumbe bado mnawapa pesa na hamsemi! Mbona siku hizi wanawake ni wengi kuliko pesa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom