Kuna wakati rais hucheka

Jengo gani limebomolewa / mkataba gani umevunjwa hapo?
 
Ilikuwa Udsm pale mzee wa msoga alimtania jamaa acha acheke kwa raha zake
 
Hiyo suti ni oversize ama mimi ndio sijui?

Wakemia huwa hawajali mavazi kama nyie mabishoo, zao wenyewe ni rire ri tereni ra standard gauge bora riende tu

halafu wananchi wanaimba
aataa hiyo si sawa dereva dereva kalewa
Soda ya kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…