Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Baada ya kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na Waziri Selemani Jafo Februari 2 mwaka huu uchunguzi umekamilika na imegundulika kuwa kuna Baadhi ya Wafanyabiashara wametumia vibali vya Watanzania kufungua biashara zao na wamechukuliwa hatua.
Akipokea ripoti ya Uchunguzi kutoka kwa wajumbe wa kamati maalum leo Machi 17, 2025 ijini Dar, wakati akipokea ripoti ya Uchunguzi kutoka kwa wajumbe wa kamati maalum iliyochunguza Biashara za Wafanyabiashara wa Kigeni hasa katika eneo la Kariakoo.
Ambapo ripoti hiyo imegundua wafanyabiashara 31 wamekamatwa kwa kufanya biashara kinyume na sheria huku 23 wakiondolewa nchini. Na baadhi ya Wafanyabiashara wamekuwa wakiendesha biashara zao kwa kutumia vibali na nyaraka za Watanzania jambo ambalo ni kinyume na sheria