Kuna wabunge najiuliza wanavuta bangi ya wapi?

Kuna wabunge najiuliza wanavuta bangi ya wapi?

dikembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
1,645
Reaction score
1,441
[h=1]Wabunge wakipigana ndani ya bunge Ukraine.[/h]
 

Attachments

  • ukrain 3.png
    ukrain 3.png
    108.6 KB · Views: 346
  • ukrain 4.png
    ukrain 4.png
    96 KB · Views: 274
  • ukrain.png
    ukrain.png
    117.4 KB · Views: 224
  • wabunge ukrain.png
    wabunge ukrain.png
    99.5 KB · Views: 236
Kupishana kwa fikra ndo kunawafanya watu waweke utu pembeni na kujaribu ngumi, sio lazima iwe Bangi.
 
Kupishana kwa fikra ndo kunawafanya watu waweke utu pembeni na kujaribu ngumi, sio lazima iwe Bangi.
Mkuu mahone, nilidahani Tanzania tu ndio tunashindwa kupambana na hisia hasi..Professional ethics ziko wapi hapa?
 
Kupishana kwa fikra ndo kunawafanya watu waweke utu pembeni na kujaribu ngumi, sio lazima iwe Bangi.

Ndo maana serikali yao imewashinda sasa nchji inagwanyika vipande na miko mingine kuomba hifadhi kwa jirani. pole yao.
 
Wendawazimu wapo kila mahali....hiyo spirit inawatafuna sana wanasiasa wetu..sijui wapi kuba nafuu maana hata kwetu haka kamchezo kapo sana
 
Back
Top Bottom