Kuna vyeo/nafasi huwa sizielewi serikalini

Mrajisi wa Ushirika
mrajis wa ushirika ni msimamizi, mkaguzi, mshauri, msajili wa vyama vyotevya ushirika wa kuweka na kukopa (SACCOS) pamoja na ushirika wa mazao au mnaita vyama vya ushirikia vya msingi (AMCOS)....... huyu ndie anawasimamia maafisa ushirika wote Tanzania na vyama vyote vya ushirika vilivyosajiliwa
 
Makatibu wadogo wa wizara husika wanafanya kazi gani?
 
Nivae pichu ya nini wakati nimevaa boxer?
Ainisha majukumu ya makatibu wa kuu wasaidiz kisha ainisha majukumu ya mrajis wa vyama vya ushirika.... utaiona tofauti ..... haujaenda uwanjani kuwaangalia YANGA..... nasikia uwanja umejaaa......
 
Ahsanteee kwa ufafanuzi mkuu
 
Katibu tawala RAS kazi yake nn?
Huyo ndo anayeratibu shughuli zote za mkoa. Mkuu wa mkoa yeye anapewa tu atafune. Inshort huyo ndo boss wa mkoa. RC yupo kisiasa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…