Kuna vitu vinatia kinyaa

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,599
Kwani hakuna vimashine vya kutoa hizo takataka hapo aaarghhhhh ,nae kavua kabisa shati jamanii8[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Siku moja nilikuwa naelekea Makumbusho nikitokeaTegeta,njiani nakumbuka alipanda Tozi mmoja mpaka abiria wote walishangaa...jamaa alikuwa amevaa T-shirt kama ya Ali Kiba ( itazame picha aliypiga Ali Kiba,Kikwete na Ommy Dmpoz) halafu hapo katkati ya kifua ( the part of a chest that was uncovered) palikuwa pamejaa unywele hatar tupu...halafu jamaa hana hata wasiwasi na amezkuza kwa dawa ni ndefu na nyeusi hatar!
 
Aisee hukumpiga hata ka picha hivii [emoji23][emoji23][emoji23] naona ulishangaa haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…