Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

hahahaha..hiiiiii....mkuu pole....ila kwa malalamiko hayo unaonekana kabisa sio ka saizi kako mkuu......huyo umri wake unamruhusu kuchagua hivyo...we msubirie akifika ile miaka elekezi...kwa mdomo wake mwenyewe atakuambia, "cha muhimu mapenzi tuu"
Ati miaka elekezi.
 
***** zao.
Wengine wanataka high life na uwe na hela,gari na nyumba wakati baba yake kajenga wakati anastaafu,
wazazi wake hata baskelu hawana,
maza fanta kabisa.
Aisee na nyie mngekuwa mnaoa wanawake kama mama zenu kuanzia maumbo hadi tabia basi ingekuwa vizuri zaidi
 
Mwingine utamsikia anasema "Mi nataka kuolewa na mwanaume mwenye hela zake tena awe handsome" wakati chenyewe kanamiliki pochi na wigi tu
Sasa jamani wanaume mnaposemaga mnataka kuoa wanawake wenye sura nzuri na makalio makubwa na nyie mnakuwaga nazo hizo sifa au? Khaa
 
Mleta mada naamini uko presentable, huna kitambi wewe ni mrefu hayo maneno ya hako ka dem hayakuhusu au vip?😀😀😀😀😀
 
Unakuta kademu kako very selective kwa wanaume eti "Nyikitaka kuonyewa mwanyaume nyazima awe na umbo presantable" ooooh mara sitaki kabisa mwenye kitambi mimi, Nataka mwanaume mwenye kifua chake""

"Mwanyaume Awe tall flani, aweze kunibeba vizuri na asiwe mweusi, "

Ukikaangalia kadem kenyewe kana tumbo kubwa kuliko tako halafu kana "kithembe" kanaongea kama kameng'ata matope... Hela hakana, tako hakana, Ni maziwa tu na tumbo kama birika.

Halafu vingine vimeona Kakiwa na tako bas kanaona kanamilika GSM mall.. Ni kujibinua tu kila saa na kutembea havijavaa chupi.. Kanagegedwa na kuachwa.. Mpaka papuchi inakuwa brown.!!


Ngoja ninywe maji kidogo sio kwa hili povu.
Baadae kidogo
punguza hasira mkuu utaua
 
Mpaka sasa kuna taarifa watu 20 wamepoteza fahamu baada ya kusoma hili li uzi
 
Back
Top Bottom