ki2 chepesi kisichoitaji process ndefu ni kuchukua pc na sim ya hyo mtu wako ingia whatsapp ya kwenye cm nenda kwenye options then select whatsapp web ingia kwenye
www.whatsapp.com kwa ku2mia pc thn scan ile barcode then chats zote zitakuwa kwenye pc kila msg itakuwa itakuwa inakuja kwenye pc yako anavyochat