Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,151
- 14,490
Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.
Tulia kijana, wakati wanapeleka matatizo yao kuna alie wasaidia? Kama wamejibiwa?Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.