Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,031
- 40,063
Wasalaam wana-JF,
Kama kichwa cha uzi hapo ''kuna uwezekano mkubwa sana jamii zilizopata elimu ya mzungu huku Africa haswa Tanzania hazina maarifa ya asili''.
Nimejaribu kusoma maendeleo ya viwanda, biashara, na uchumi kwa ujumla baadhi ya nchi hasa za Asia unakuta walitumwa watu kwenda kusoma UK. Baada ya kurudi basi wakafanya mapinduzi makubwa sana ukianglia Japana uchumi wake unahesabiwa kuimarika mwaka 1945 baada ya kupata madhara makubwa kweny ya pili ya dunia ila mpaka sasa yupo imara.
Hapa kwetu mbona watu wamesoma sana, kuna ma'professors na PhD hata buku (1,000) ila mbona hatuoni hayo maendeleo kama wenzetu kuna watu wamesoma elimu ya juu zaidi kuanzia masters na kuendelea vyuo vikubwa duniani ila mbona hamna tofauti wala athari chanya kweny jamii zetu.
Mbona sioni wasomi wakifanya mapinduzi hata kumiliki teknolojia binafsi, kwa kweli nazama sana maktaba zaidi ya kuona machapisho ya kinadharia, mengi ni kunakili tu hamna jipy yaani vitendo zero. Mara nyingi chuoni naona wahadhiri kazi kujisifu ila ukitoa kufundisha na rushwa ndogo ndogo za kujifanya Mungu watu hawana cha maana hata wakistaafu leo hawana cha kufanya zaidi ya dili.