Kuna usalama kweli hapa!!!!!!

Kuna usalama kweli hapa!!!!!!

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
4,894
Reaction score
4,477
KIPONZA.JPG


Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA ) akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Mzee Abeid Kiponza
Hebu tupia neno hapo ni nini haswa kinazungumzwa hapo?
 
Next time tutakuwa tunakata kiganja kizima cha mkono, maana tunaona kutoa kucha hijasaidia kitu.
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Naomba kutambua uwepo wa aliyekuwa RTO wa Iringa enzi hizo Afande Kedymond Mnubi kwa mbali nyuma ya hiyo picha upande wa kushoto(kwa unayesoma)
Hakika huyu afande alisubutu kwa kiasi kikubwa kupunguza ajali enzi za utawala wake Bila shaka madereva wa mabasi wote wa mikoa ya IRINGA ,NJOMBE,MBEYA nk watakuwa wanamkoma sana!
 
nikihamia chadema vp udiwani ntapata?
 
........vipi msigwa una kitana nichane hizi nywele zangu?
 
Back
Top Bottom