Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wadau kuna hii software inaitwa drop box, hivi ina usalama kweli katika kuhifadhi documents km picha na aina nyingine za documents.

Tafadhali Tembelea 4shared.com - free file sharing and storage hilo ndilo suluhisho la usalama wa nyaraka zako...wanakupa 15 GB za storage. Karibu

Ila mkuu hii 4share mbona inaonekana km ni ya public.