Nina boyfriend wangu ambaye ni miezi 3 hivi tangu tuanze mahusiano ninampenda kweli lakini siku hizi amebadilika tuna kama wiki sasa hatuwasiliani vizuri, nikimtumia sms hajibu, nikimpigia hapokei baadae anatoa excuse za ajabu eti alikuwa mbali, hii imejirudia kwa wiki nzima nashindwa kujua kama anafanya hivyo ili nikate tamaa nimuache au hanihitaji ila anashindwa kuniambia,nachanganyikiwa nampenda kwa dhati naombeni ushauri wenu wana jamvi