jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 347
Habari wanajamvi,
Nimejaribu kuchunguza na kuangalia Clouds Tv jinsi wanavyofanya mchakato wa kuchagua malkia wa nguvu nilichokiona binafsi, wanachagua wajasiriamali wakubwa au wenye majina makubwa kwenye ujasiliamali na wasomi. Huku tukiwaacha wajasiriamali wadogo wadogowadogo ili nao wajulikane na kutumia media kujulikana na kushauriwa jinsi ya kujiwezesha na kukuza biashara na kujibrandi.
Nashangaa wanachaguliwa manguli na wajuaji wa kujipendekeza na kuchaguliwa umalkia wa nguvu, bila kujua huku kuna wa mama wanapenda hiyo nafasi ila awajapata chansi ya kujipendekeza kwenye media ili waonekane, waende kuchagua mitahani mfano kuna wadau wa mazingira kule Dampo kinyamwezi wa mama wanasaruka ukimuona mchafuu huku anapesa nyingi na changamoto nyingi za ugumu wa mazingira ya biashara na kuweza kupambana na wanaume huku wakisukumana kutafuta riziki jalalani. Nasio hao na kingereza chao cha ammhhh! Ammmhh! Sisi huku lugha ya mwingereza hatuna na tunapiga pesa na tunapata Japo kwa mazingira magumu.
Ni hayo tu mtukumbuke wajasiriamali wa huku tusio na majina hao tayari wanakikubwa wanaongezewa.