g vizy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 933
- 1,034
wadau habar zenu?
mimi ninachouliza kama kuna umuhimu wowote wa kuupdate window maana wanasema update inasaidia kupata new features lakini ukiachilia mbali hilo pia
wanasema ni kuprevent computer against malwares and viruses
sasa inakuwaje endapo nina antivirus nimemuistall anayezuia viruses huyo awezi kutosha mpaka niaupdate window
ebu naombeni mnifafanulie vizuri wadau
natanguliza shukrani