Kuna umuhimu wa kusherehekea miaka 50 ya Uhuru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna umuhimu wa kusherehekea miaka 50 ya Uhuru?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpita Njia, Jun 4, 2011.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni kweli katika miaka 50 tangu kupata Uhuru wetu kuna mafanikio yamepatikana. Ni lazima kumshukuru Mungu na wale waliofanikisha kupatikana kwa mafanikio hayo. Lakini ninapotakari na kujiuliza, sioni uwiano wa mafanikio hayo na kipindi hicho cha miaka 50. Sijaweza kupima kwa uhakika, lakini naamini kuwa kiwango cha mafanikio haya ya miaka 50, kama ingekuwa tumefanya mambo vile inavyotakiwa, yasingetuchukua hata miaka kumi kuyapata.
  Najiuliza; kama kwa miaka 50 tumepata mafanikio machache kiasi hicho, kuna maana gani kusherehekea miaka 50 ya Uhuru? Kwa nini tusitumia maadhimisho ya mwaka huu kutafakari na kujipanga vizuri zaidi ili baada ya miaka kumi ijayo tuwe tumepata mafanikio zaidi ya haya tuliyoyapata katika miaka 50 iliyopita?
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hakuna raha maisha ya Mtanzania wa leo bora liende tu na afadhali ya jana
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Ni muhimu kushehekea miaka 50 ya uhuru kwa sababu hata kama maendeleo sio ya kuridhisha, hapo ndipo tulipofikia kulingana na uwezo wetu. Si kweli kwamba hakuna kitu kilichofanyika, ukichukua nchi yako hio wakati inapata uhuru na sasa utaona kwamba kuna vitu vimefanyika tena vikubwa tu- Tazama barabra, elimu, uhuru wa kushiriki siasa ndio maana kuna vyama vingi. Sasa wakati wa sherehe za miaka 50 tathmini itafanyika kupima mafanikio na changamoto katika miaka 50 iliyopita na kuweka mikakati ya kusonga mbele.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mimi sijasema kuwa hakuna kilichofanyika. Ni kweli vimefanyika lakini nadhani tungeweza kufanya zaidi ya hivyo tulivyofanya. kwa maana nyingibne, kama ingekuwa tumejiwekea malengo, basi nmalengo hayo hatujayatimiza. Tuna haja yab kusherehekea kama hatujatimiza malengo?
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwenye sherehe ya miaka 50-kama viongoz wetu wangekuwa na plan-ingekukuwa ndo siku ya kufungua miradi mikubwa katika hii nchi-
  lakini kwa kuwa wanafikiria umbali wa milimita 1,hakuna maradi wowote mkubwa utakaozinduliwa -kitakacho fanyika ni wao kula pilau tu
   
 6. A

  Abunuas JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 8,730
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Sioni umuhimu. Tujikumbushe wenzetu wachina. miaka 50 iliyopita tulikuwa sawa what about now? china is the 2 leading economy in the world. Hasa kipindi kilichoharibu zaidi ni wakati hawa watu wa msikitini walipoanza kutuongoza. Mtanisamehe wahusika.
   
 7. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tatizo la nchi yetu inakuwa kisengele nyuma inatoka juu kwenda chini,hebu fikiri enzi za mwl literacy rate ilikuwa juu sana lakini angalia sasa lliteracy rate imekuwa juu compared to mwl nyerere period,sasa mm najiuliza mifano midogo kama hii inaonesha ni jinsi gani tunavyokua kinyumenyume.
  Miaka 50 for nothing
   
 8. u

  umtwale Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kwahiyo ukiwa masikin hufany birthday? Majiran zako, ndugu zenu hawasherehekei kuzaliwa¡ mbona upinzan kila kitu
   
 9. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Swala sio kusherehekea tu je una idea hizo sherehe zinamaanisha in financial terms kwa taifa ambalo hata kununua generata moja ya umeme ni lazima tutafute wafadhili? Je haitoshi kuwa na event ya kawaida ku-mark hiyo miaka mpaka iwe ni drama ya kufanyika nchi nzima?

  Unless you are oblivious, but If you are to be honest with yourself the quality of life 50 years ago was much better than it is today - People like you talk about quantity as if the population is stagnant. Mnazungumzia idadi mashule, urefu wa barabara etc, wakati huo unasahau (nadhani kwa uelewa mdogo) kuwa mitaa ya magomeni, ilala etc 50 yrs ago ilikuwa na rami lakni leo hii hakuna kitu kama hicho.

  Mimi nakushauri kuwa mkweli au kujifunza kwa dhati na sio kuwa shabiki tu wa mitazamo ya watu wengine. Mambo unayoshabikia kuwa ni symbol ya maendeleo hapa TZ hata nchi ya Somalia ambayo haina serikali ya kitaifa kwa karibu miaka ishirini pia wanayo.... :confused2:
   
 10. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwanza tulidai uhuru tukaupata kwa njia ya Amani .inaonekana wengi wengi mnaoandika humu hamjui Hali ilikuwaje kabla ya uhuru. Katika nch nyingi za afrika miaka 50 imekuwa ya vurugu,sidi tumebaki salama. Tumepiga hatua ukilinganisha na Hali ilivyokuwa. Hata matusi mnayotukana humu ni sehemu ya uhuru wenu.Tunayo kila sababu ya kushehekea.
   
 11. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona Tusherekee Tarehe 9 December kwa namna hii!

  ~ * Good evening, London. Allow me first to apologize for this interruption. I do, like many of you, appreciate the comforts of every day routine- the security of the familiar, the tranquility of repetition. I enjoy them as much as any bloke. But in the spirit of commemoration, whereby those important events of the past usually associated with someone's death or the end of some awful bloody struggle are celebrated with a nice holiday. I thought we could mark this November the 5th, a day that is sadly no longer remembered, by taking some time out of our daily lives to sit down and have a little chat. There are of course those who do not want us to speak. I suspect even now, orders are being shouted into telephones, and men with guns will soon be on their way. Why? Because while the truncheon may be used in lieu of conversation, words will always retain their power. Words offer the means to meaning, and for those who will listen, the enunciation of truth. And the truth is, there is something terribly wrong with this country, isn't there? Cruelty and injustice, intolerance and oppression. And where once you had the freedom to object, think, and speak as you saw fit, you now have censors and systems of surveillence coercing your conformity and soliciting your submission. How did this happen? Who's to blame? Well, certainly there are those more responsible than others, and they will be held accountable, but again truth be told, if you're looking for the guilty, you need only look into a mirror.

  I know why you did it. I know you were afraid. Who wouldn't be? War, terror, disease. There were a myriad of problems which conspired to corrupt your reason and rob you of your common sense. Fear got the best of you, and in your panic you turned to the now High Chancellor, Adam Sutler. He promised you order, he promised you peace, and all he demanded in return was your silent, obedient consent. Last night I sought to end that silence.

  Last night I destroyed the Old Bailey, to remind this country of what it has forgotten. More than four hundred years ago a great citizen wished to embed the fifth of November forever in our memory. His hope was to remind the world that fairness, justice, and freedom are more than words, they are perspectives. So if you've seen nothing, if the crimes of this government remain unknown to you, then I would suggest you allow the fifth of November to pass unmarked. But if you see what I see, if you feel as I feel, and if you would seek as I seek, then I ask you to stand beside me one year from tonight, outside the gates of Parliament, and together we shall give them a fifth of November that shall never, ever be forgot.~

  V FOR VENDETTA.
   
 12. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Upotezefu wa hela tu. Hizo hela zinazotumika kuandaa hizo sherehe wazipeleke kwenye ujenzi wa hospitali,madarsa n.k
   
Loading...