Kuna umuhimu gani wa elimu ya theolojia wakati Roho Mtakatifu yupo?"

MODEMTECH

Member
Jan 26, 2017
46
18
Nini umhimu wa kusoma theology ili kufundisha neno la Mungu wakati kuna ROHO MTAKATIFU mwenye karama na mapaji kedekede na wote tunajua bila yeye hatuwezi kitu.

YOHANA 14: 16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;

17 Ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.
 
Roho Mtakatifu hayuko kwa wote, yuko kwa baadhi ya watu ambao wako tayari kuishi kwa kufuata misingi yake.

Kama alivyo Mtakatifu, inabidi uwe mtakatifu pia ili uendane naye, vinginevyo huwa "anazimika" huko ndani.

Neno liko kwa ajili ya kila mtu, uwe mtakatifu uwe mfanya dhambi, Neno la Mungu ni taa kwako.

Theolojia ni muhimu sana kwa ajili ya watu wanaochukulia mambo ya Kimungu na kuyapeleka kimwili mwili na sio Kiroho, mfano katiba za nchi nyingi na mifumo mingi ya kiuchumi na kibiashara imejengwa katika misingi ya Neno lakini haina utakatifu ndani yake.
Utakuta nchi inapiga vita kuua lakini inaruhusu utoaji mimba, nchi inapinga vikali rushwa lakini inakubali takrima.

Sasa misingi hiyo inayoongoza mifumo ya kijamii ambayo chimbuko lake ni Neno bila kuwepo theolojia, usitegemee wanajamii kuifuata maana Roho hakai ndani yao, theolojia kwao ni muhimu kuwafundisha maana hawaendi kwa imani ila kwa reasoning.
 
Roho Mtakatifu hayuko kwa wote, yuko kwa baadhi ya watu ambao wako tayari kuishi kwa kufuata misingi yake.

Kama alivyo Mtakatifu, inabidi uwe mtakatifu pia ili uendane naye, vinginevyo huwa "anazimika" huko ndani.

Neno liko kwa ajili ya kila mtu, uwe mtakatifu uwe mfanya dhambi, Neno la Mungu ni taa kwako.

Theolojia ni muhimu sana kwa ajili ya watu wanaochukulia mambo ya Kimungu na kuyapeleka kimwili mwili na sio Kiroho, mfano katiba za nchi nyingi na mifumo mingi ya kiuchumi na kibiashara imejengwa katika misingi ya Neno.

Sasa misingi hiyo bila kuwepo theolojia, usitegemee wanajamii kuifuata maana Roho hakai ndani yao, theolojia kwao ni muhimu kuwafundisha maana hawaendi kwa imani ila kwa reasoning.
Ok,
Binafsi nawachukia wanatheolojia kwa sababu wamefanya kama miradi. Rejea migogoro inayolindima makanisani - inasababishwa na hao wanaojifanya kuwa na videgree vya theologia na kuwadharau wale wanaoongozwa na Roho takatifu.
 
Kiuhalisia wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanatakiwa kuwa viongozi wa wale wanaojikita katika theolojia maana theolojia ina mipaka yake katika Ukristo, na imekuwa ndio msingi hasa wa Ukristo kama dini yaani Ukristo huu wa uvugu vugu au wa kidotCom na sio Ukristo kama wokovu kwa maana hasa ya kumtafuta Mungu.

Suala la kudhahaulika na kuwa na migogoro hilo halikwepeki mkuu, Yesu bingwa wa kuongozwa na Roho alikuwa na mtafaruku sana na viongozi wa theolojia wa kipindi hicho(mafarisayo, masadukayo, waalimu na waandishi) na mpaka plot ya kifo chake ilipangwa na hao hao viongozi wa kitheolojia.

Mtume Paulo aliyekuwa bingwa wa theolojia aliishi kifalme mwanzoni ila alipompokea Roho Mtakatifu na kuanza kuongozwa naye aliishi maisha ya tabu sana, akawa mtu wa kujificha ficha, mtu wa kuishi magerezani na dhahama zote unazozijua.

Vita ya Theolojia(na wafuasi wake) na Roho(na wafuasi wake) haiwezi kuisha, maana mwili hupingana na Roho na tangu mwanzo viwili hivi hupingana.

Kumbuka theolojia ni namna ya kuliangalia Neno kimwili na kuongozwa na Roho ni namna ya kuliangalia Neno kiroho.
 
Roho Mtakatifu hayuko kwa wote, yuko kwa baadhi ya watu ambao wako tayari kuishi kwa kufuata misingi yake.

Kama alivyo Mtakatifu, inabidi uwe mtakatifu pia ili uendane naye, vinginevyo huwa "anazimika" huko ndani.

Neno liko kwa ajili ya kila mtu, uwe mtakatifu uwe mfanya dhambi, Neno la Mungu ni taa kwako.

Theolojia ni muhimu sana kwa ajili ya watu wanaochukulia mambo ya Kimungu na kuyapeleka kimwili mwili na sio Kiroho, mfano katiba za nchi nyingi na mifumo mingi ya kiuchumi na kibiashara imejengwa katika misingi ya Neno.

Sasa misingi hiyo bila kuwepo theolojia, usitegemee wanajamii kuifuata maana Roho hakai ndani yao, theolojia kwao ni muhimu kuwafundisha maana hawaendi kwa imani ila kwa reasoning.
Very well spoken!
 
Aisee...Bonge la uzi ila kwa wale wenye nguvu za Mungu,lkn kwao wanaopotea ni upuuzi

WANANIKWAZA MNO WANATHEOLOJIA

Kuna rafiki yangu mmoja ni degree holder wa theolg
1.Mbishi
2.Anatafsiri Neno vibaya mno
2.Yupo mwilini full time wala hana muda na maombi..
NI KERO!
 
Wanakera sana hao jamaa!
 
Aisee...Bonge la uzi ila kwa wale wenye nguvu za Mungu,lkn kwao wanaopotea ni upuuzi
Kwanini ni upuuzi.. ?

WANANIKWAZA MNO WANATHEOLOJIA
Kwanini wana kukwaza...? Labda hujui Theology ni kitu gani..? Hata Paulo alikuwa msomi mzuri wa Biblia...

Kuna rafiki yangu mmoja ni degree holder wa theolg
1.Mbishi
2.Anatafsiri Neno vibaya mno
2.Yupo mwilini full time wala hana muda na maombi..
NI KERO!
Unajielewa kweli wewe.. ?
 
Roho Mtakatifu hayuko kwa wote, yuko kwa baadhi ya watu ambao wako tayari kuishi kwa kufuata misingi yake.

Kama alivyo Mtakatifu, inabidi uwe mtakatifu pia ili uendane naye, vinginevyo huwa "anazimika" huko ndani.

Neno liko kwa ajili ya kila mtu, uwe mtakatifu uwe mfanya dhambi, Neno la Mungu ni taa kwako.

Theolojia ni muhimu sana kwa ajili ya watu wanaochukulia mambo ya Kimungu na kuyapeleka kimwili mwili na sio Kiroho, mfano katiba za nchi nyingi na mifumo mingi ya kiuchumi na kibiashara imejengwa katika misingi ya Neno.

Sasa misingi hiyo inayoongoza mifumo ya kijamii ambayo chimbuko lake ni Neno bila kuwepo theolojia, usitegemee wanajamii kuifuata maana Roho hakai ndani yao, theolojia kwao ni muhimu kuwafundisha maana hawaendi kwa imani ila kwa reasoning.
Umeelezea vizuru mkuu pongezi kwako. Lakini huoni kwamba watu wote wanatakiwa wafike level hiyo ya kuongozwa na roho mtakatifu? Tukisema wana theolojia wapo kwaajili ya kuwaongoza wale wanaoenenda kwa mwili huoni kwamba tunabariki waendelee kukaa katika mwili milele na neno linasema Mungu ni roho nao wamwabuduo imewapasa wamwabudu katika roho na kweli...hawa wanoabudu katika mwili ni lini wataanza kuabudu katika roho?
 
Ipo siku mtanyweshwa sumu huko makanisani mwenu huku mkishangilia na kubugia kama mazuzu, na kumpongeza mchungaji kwa kuongozwa na roho kuwapa sumu...

Ni muda tuu...Bado hamjui Theology ni kitu gani...
 
Kiuhalisia wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanatakiwa kuwa viongozi wa wale wanaojikita katika theolojia maana theolojia ina mipaka yake katika Ukristo, na imekuwa ndio msingi hasa wa Ukristo kama dini yaani Ukristo huu wa uvugu vugu au wa kidotCom na sio Ukristo kama wokovu kwa maana hasa ya kumtafuta Mungu.

Suala la kudhahaulika na kuwa na migogoro hilo halikwepeki mkuu, Yesu bingwa wa kuongozwa na Roho alikuwa na mtafaruku sana na viongozi wa theolojia wa kipindi hicho(mafarisayo, masadukayo, waalimu na waandishi) na mpaka plot ya kifo chake ilipangwa na hao hao viongozi wa kitheolojia.

Mtume Paulo aliyekuwa bingwa wa theolojia aliishi kifalme mwanzoni ila alipompokea Roho Mtakatifu na kuanza kuongozwa naye aliishi maisha ya tabu sana, akawa mtu wa kujificha ficha, mtu wa kuishi magerezani na dhahama zote unazozijua.

Vita ya Theolojia(na wafuasi wake) na Roho(na wafuasi wake) haiwezi kuisha, maana mwili hupingana na Roho na tangu mwanzo viwili hivi hupingana.

Kumbuka theolojia ni namna ya kuliangalia Neno kimwili na kuongozwa na Roho ni namna ya kuliangalia Neno kiroho.
Umeeleza vizuri sana japo kwa kifupi ila ni elimu nzuri sana kwa wanaohitaji kujifunza
 
Aisee...Bonge la uzi ila kwa wale wenye nguvu za Mungu,lkn kwao wanaopotea ni upuuzi

WANANIKWAZA MNO WANATHEOLOJIA

Kuna rafiki yangu mmoja ni degree holder wa theolg
1.Mbishi
2.Anatafsiri Neno vibaya mno
2.Yupo mwilini full time wala hana muda na maombi..
NI KERO!
Zaburi 119:165
Wana amani nyingi waipendao sheria yako, wala hawana la kuwakwaza. Usikwazike mkuu
 
Roho Mtakatifu hayuko kwa wote, yuko kwa baadhi ya watu ambao wako tayari kuishi kwa kufuata misingi yake.

Kama alivyo Mtakatifu, inabidi uwe mtakatifu pia ili uendane naye, vinginevyo huwa "anazimika" huko ndani.

Neno liko kwa ajili ya kila mtu, uwe mtakatifu uwe mfanya dhambi, Neno la Mungu ni taa kwako.

Theolojia ni muhimu sana kwa ajili ya watu wanaochukulia mambo ya Kimungu na kuyapeleka kimwili mwili na sio Kiroho, mfano katiba za nchi nyingi na mifumo mingi ya kiuchumi na kibiashara imejengwa katika misingi ya Neno.

Sasa misingi hiyo inayoongoza mifumo ya kijamii ambayo chimbuko lake ni Neno bila kuwepo theolojia, usitegemee wanajamii kuifuata maana Roho hakai ndani yao, theolojia kwao ni muhimu kuwafundisha maana hawaendi kwa imani ila kwa reasoning.
Rubbish!
 
Kiuhalisia wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanatakiwa kuwa viongozi wa wale wanaojikita katika theolojia maana theolojia ina mipaka yake katika Ukristo, na imekuwa ndio msingi hasa wa Ukristo kama dini yaani Ukristo huu wa uvugu vugu au wa kidotCom na sio Ukristo kama wokovu kwa maana hasa ya kumtafuta Mungu.

Suala la kudhahaulika na kuwa na migogoro hilo halikwepeki mkuu, Yesu bingwa wa kuongozwa na Roho alikuwa na mtafaruku sana na viongozi wa theolojia wa kipindi hicho(mafarisayo, masadukayo, waalimu na waandishi) na mpaka plot ya kifo chake ilipangwa na hao hao viongozi wa kitheolojia.

Mtume Paulo aliyekuwa bingwa wa theolojia aliishi kifalme mwanzoni ila alipompokea Roho Mtakatifu na kuanza kuongozwa naye aliishi maisha ya tabu sana, akawa mtu wa kujificha ficha, mtu wa kuishi magerezani na dhahama zote unazozijua.

Vita ya Theolojia(na wafuasi wake) na Roho(na wafuasi wake) haiwezi kuisha, maana mwili hupingana na Roho na tangu mwanzo viwili hivi hupingana.

Kumbuka theolojia ni namna ya kuliangalia Neno kimwili na kuongozwa na Roho ni namna ya kuliangalia Neno kiroho.
Utter rubbish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom