Kuna umuhimu gani gari kuingia mawasiliano?

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,305
50,476
Hili swala nimejiuliza sana na sioni logic ya serikali kulazimishadaladala kuingia mawasiliano, daladala zinazotokea Mbezi -Makumbusho ni lazima kuingia kituo cha mawasiliano!

Zikitoka Makumbusho ziingie Mawasiliano, Je kuna umuhimu gani wa kupoteza Muda kiasi cha dakika10 ?

Barabara pia ni mbovu na hakuna marekebisho! Pesa zinazokusanywa getini zinaenda kwa nani? Serikali tafadhali punguzeni hii kero.
 
hii ndio thread uliyosema ulianzisha ukawa unalalamika watu hawaingii..?? hahahaha


anyways
suala la mawasiliano linahitaji kujadiliwa kwa upana kabisa
 
Back
Top Bottom