Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 336
- 1,379
Ulimwengu wa Roho ni mpana...
Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...
Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...
Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo
Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...
Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...
Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...
Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...
Kuna mambo yajayo...
Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...
Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...
Kusema nogopa...
Amejibu broAkikujibu nitag
Mkuu unanipa wasiwasiSi wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
Nitaendelea
Bro umerudisha kilinge, halafu nipe location nataka kuja hapo msata kilingeni kuna mpuuzi nataka kumkaangaSi wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
Nitaendelea
Asee acha kutupangaTunaishi ulimwengu huu. Baada ya hapa ipo astral world. Halafu Brahma world. Hapa ndipo wanapokwenda watu baada ya kufa hapa duniani. Baada ya hapo ipo Patra world,ambapo ndio wapo watu more evolved,ambapo yupo Aristotle,Socrates.Leonardo da Vinci,Winston Churchill,na watu wengine kama hao. Halafu bado,it goes on. Zipo dimensions nyingine
Je ulishawahi onyeshwa kutokea ugaidi kwenye mkoa wowote hapa Tanzania ?Ulimwengu wa Roho ni mpana...
Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...
Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...
Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo
Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...
Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...
Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...
Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...
Kuna mambo yajayo...
Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...
Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...
Kusema nogopa...
Kilichonistua katika mada hii ni kwamba mtoa mada niliyekuwa namtarajia awe anatujibu swali lililoulizwa ndiye anayeuliza swali lenyewe!!Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
Nitaendelea
Ongezea nyama mkuu umetuacha NANJA .... nisawa na kujichukulia sheria mkononi(nyeto) halafu wazungu hawajajaSi wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
Nitaendelea
Pole sana kaka mkubwa.Wakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kakaWakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unaonaje onaje yaani!!?hebu HUWA unaona NINI haswa!!?Ukianza kuona mambo ktk Ulimwengu wa Roho unaitwa chizi, sababu wewe unaona wenzio hawaoni
Ulimwengu wa Roho ni mpana...
Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...
Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...
Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo
Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...
Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...
Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...
Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...
Kuna mambo yajayo...
Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...
Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...
Kusema nogopa...
Naandika nafuta[emoji24]Je ulishawahi onyeshwa kutokea ugaidi kwenye mkoa wowote hapa Tanzania ?
Kwanini unaogopa kusema?
Muonekano wa baadhi ya matukio hutisha na kuogofya.Ila wajua dunia hawanaga wasi.Kabisa woga uutoe, maana mwanzo nilipoanza kuona niliogopa...
Hayo matukio ukiyajua kama ni mabaya yanaumiza...Muonekano wa baadhi ya matukio hutisha na kuogofya.Ila wajua dunia hawanaga wasi.