lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,749
- 3,462
Huu sasa siku moja kabla ya kuzika huwa tunakaa sana bar za karibu na msibaKuna misiba hadi pale kwenye bufee kuna mishikaki ya kuku 😂
Ni muhimu kupiga picha za kumbukumbu ila kuziweka mitandaoni haina maana, ni kumbukumbu ya kifamilia zaidiBora hao kunawengine wanatuma hadi picha ya jeneza mtandaoni, au wanapiga picha kaburini kashika msalaba, hii dunia ina watuu..
Acha tu mkuuBora hao kunawengine wanatuma hadi picha ya jeneza mtandaoni, au wanapiga picha kaburini kashika msalaba, hii dunia ina watuu..
Kweli sio kila jambo la kuweka mtandaoni..Ni muhimu kupiga picha za kumbukumbu ila kuziweka mitandaoni haina maana, ni kumbukumbu ya kifamilia zaidi
mwanadamu ana sherehe tatu katika maisha yake,Moja kwa Moja....ikiwa kwamfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana....unaweza kuvaa sare Msibani? Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?.....Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani.....hivi kwl Kwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?......Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe.......Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.....Kwa Hilo Mungu atamlipia.
Umeenda mbali sana ukasahau kuwa hujawahi ku -post ka picha ka baba yako akingali hai lkn akifa utajazia watu saver za simu zao kwa kupost picha za marehemu. Kwa nini usubiri mpaka afariki ndio ufanye hivyo?Moja kwa Moja....ikiwa kwamfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana....unaweza kuvaa sare Msibani? Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?.....Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani.....hivi kwl Kwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?......Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe.......Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.....Kwa Hilo Mungu atamlipia.
WANACCM WANAVAA MPAKA KWENYE KUMBI ZA ARUSI[emoji1][emoji1]Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?
Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani, hivi kweli lwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?
Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe. Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.
Kwa hilo Mungu atamlipia.
Kuna misiba ya kabila Fulani kaskazini jamani pombe zinanyweka pombe zinanyweka uwiiiHuu sasa siku moja kabla ya kuzika huwa tunakaa sana bar za karibu na msiba
Yaani Mkuu nimezungumzia mfano umefiwa na mtt wewe utakuwa na hiyo mood?mwanadamu ana sherehe tatu katika maisha yake,
1. kuzaliwa(hushangiliwa na kila mtu)
2 Ndoa(hii unaweza usiipitie au ukaipitia)
3. Kufa (sherehe ya mwisho ya kuagwa unapokuwa umeondoka)
Kwa sababu zote ni sherehe hapo suala la sare linategemea na wanaokusherehekea, wakiamua sawa, wasipoamua sawa
Mbona jana kwa Captain sijapataUkitaka kupata demu mwenye sura nzuri nenda msibani
Kaskazini mwa AfricaKuna misiba ya kabila Fulani kaskazini jamani pombe zinanyweka pombe zinanyweka uwiii
mna mambo mengi sana au sababu n maokotoMisiba ni fursa..hizo sare ni Biashara ya watu ....siku hizi Msiba umerasimishwa..
1.Chakula..ataitwa mpishi analipwa
2. Mapambo ataitwa anaye atalipwa
3.sare zinanunuliwa na kuuzwa kwa wahudhuriaji msibani
4.Tshirts zinaprintiwa ,printer atalipwa
5..
6..