MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,310
Shalom shalom wakuu!
Natarajia kufanya mtihani kidato Cha SITA kama Mtahiniwa wa kujitegemea.
Sasa kuna hili somo la General study. Je, Kuna madhara nisipolifanyia mtihani? Angalau nipunguze mzigo.
Naona hata entry requirements za vyuo vikuu halina madhara..
Lakini huku kwenye ACSEE ni la lazima, sielewi ulazima wake ni wa nini hasa kwa Private candidate.