issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,139 Aug 12, 2017 #1 Kuna ulazima wa kulazimishana kuchangia mwenge na kwenda kufanya mazoezi ya pamoja kila mwisho wa mwezi????? hebu nisaidieni wanajf. From Kibiti
Kuna ulazima wa kulazimishana kuchangia mwenge na kwenda kufanya mazoezi ya pamoja kila mwisho wa mwezi????? hebu nisaidieni wanajf. From Kibiti
docta seifu dodoma Member Joined Aug 11, 2017 Posts 61 Reaction score 78 Aug 12, 2017 #2 Duu Sent using Jamii Forums mobile app
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,791 Reaction score 3,079 Aug 12, 2017 #3 Poleni kwa kulazimishwa Philips X2560
Eternal_Life JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 812 Reaction score 1,675 Aug 12, 2017 #4 Ukichangia mwenge unajiingiza kwenye maagano ya kishirikina.Gharama yake ni kubwa sana.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,791 Reaction score 3,079 Aug 12, 2017 #5 Eternal_Life said: Ukichangia mwenge unajiingiza kwenye maagano ya kishirikina.Gharama yake ni kubwa sana. Click to expand... Ufafanuzi tafadhari,Mwenge na maagano ya kishirikina vipi na vipi? Philips X2560
Eternal_Life said: Ukichangia mwenge unajiingiza kwenye maagano ya kishirikina.Gharama yake ni kubwa sana. Click to expand... Ufafanuzi tafadhari,Mwenge na maagano ya kishirikina vipi na vipi? Philips X2560