kuna ukweli?

Not true..what happened to 'Mungu yupo pote'..anawezaje kuwa pote wakati haonekani lol
 

Actual if we can't love ourselves, how can we love someone else. It begins in loving ourselves, then others and in doing so tunajikuta na Mungu tumempenda. Ni mtazamo wangu tu!
And what is loving ourselves: Kujikubali katika kila hali sio kwa kushabikia mabaya yetu bali kwa kujisamehe pindi tuyatendapo badala ya kuyasiliba na kuassume hayajatokea. Yataibuka tena tu. Kuna mwandishi anasema even yale mabaya tunayotendewa na wengine, we are 100% responsible( we are just responsible but its not our fault) because we own programs that detect them. If we didn't have those programs then we wouldn't perceive them. Hivyo basi anatoa wazo la kuclean those programs kabla hatujacomplain! Write me for a soft free copy of the book!
I submit!
 
I will love the Lord with all my heart, soul & body. Love your neighbor as you love yourself. Hayo ni maandishi ya Mungu kwa wale wenzangu wakristo. The writings are there the problem is living the word. It's true it's to love what you can't see especially if you don't love what you can see but being loving is a human character. The thing about characters is that not everyone has them.Utakuta mtu anampenda jirani yake au watu wengine kwa sababu ni utashi wake bila hata kusoma maandiko lakini kuna watu ni hawana utashi huo so hata asome wapi au aambiwe na nani hawezi kupenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom