Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,704
- 7,409
JKT ni sehem ya TPDF, ile ni kamandi tuKuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
Spika Tulia ameelekeza hivyo Bungeni lakini katazo halikuutiwa na Jeshi.JKT ni sehem ya TPDF, ile ni kamandi tu
Kwa hiyo wako sawa kabisa, ila suala la bunge kuondoa vigezo sijui limekaaje
Ninachojua jeshi hudanya hivyo pale wanapohitaji wataalam wa fani mbali mbali, after that. Ni jkt tu
They dont have to comply na kila kituSpika Tulia ameelekeza hivyo Bungeni lakini katazo halikuutiwa na Jeshi.
Ajira zote hapa Tz ukiacha taasis za benki na vyuoni kupata waadhiri , ajira nyingi watu wanaenda na vimemo kutoka CCM( kwa wanasiasa). Ni ajira chache sana ambazo hazina vimemo.Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
2019Hii habari ni 2013 kama sijakosea
Huoni wameikaidi serikali?They dont have to comply na kila kitu
Hata wauguzi, wagani, walimu nk?Ajira zote hapa Tz ukiacha taasis za benki na vyuoni kupata waadhiri , ajira nyingi watu wanaenda na vimemo kutoka CCM( kwa wanasiasa). Ni ajira chache sana ambazo hazina vimemo.
Kweli mkuu halafu mtu anakuja na tetes2019
Hizo ndo zina vimemo balaaHata wauguzi, wagani, walimu nk?
safi sana,tusije tukawa na jeshi lililojaa mashoga watupuKuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
Jeshi lilijibu hoja hiyo clear bilankupepesa macho kuwa linafanya kazi na kuwajibika kwa amiri jeshi mkuu na sio bunge.Spika Tulia ameelekeza hivyo Bungeni lakini katazo halikuutiwa na Jeshi.
Pole. Jeshi letu haliwezi kuwa huru. Jiulize hili swali. Je umewahi kusikia mwalimu akistaafu na kuteuliwa kuwa balozi au mwenyekiti wa bodi? Kinyume chake wakuu wa majeshi wakistaafu ni kawaida kusikia kateuliwa kuwa balozi, mwenyekiti wa bodi n.k. do you know why???? Kwa mfano huo akili za kuambiwa changanya na za kwako🤣Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
Bunge walikuwa sahihi. JWTZ kama limekomalia huo utaratibu ni makosa makubwa.Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.