Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,598 Reaction score 65,049 Jun 14, 2019 #1 Uhuni wote tuufanye tukiwa na miaka '20-50' baada ya hapo tunakuwa wapenzi watazamaji,nguvu zote chalii.....kimoja hoi au hewa tu.
Uhuni wote tuufanye tukiwa na miaka '20-50' baada ya hapo tunakuwa wapenzi watazamaji,nguvu zote chalii.....kimoja hoi au hewa tu.
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,942 Reaction score 23,893 Jun 14, 2019 #2 Kweli kabisa....
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,940 Reaction score 46,085 Jun 14, 2019 #3 Babu yangu (marehemu) kaondoka ana miaka ya kutosha lakini alikuwa anawashughulikia japo mara moja moja
Babu yangu (marehemu) kaondoka ana miaka ya kutosha lakini alikuwa anawashughulikia japo mara moja moja
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,598 Reaction score 65,049 Jun 14, 2019 Thread starter #4 mbalizi1 said: Babu yangu (marehemu) kaondoka ana miaka ya kutosha lakini alikuwa anawashughulikia japo mara moja moja Click to expand... Ni wachache sana wanaoweza kuwa hivyo;wengi unakuta wameathiriwa na vyakula,magonjwa ya ukubwani n.k na nguvu kupotea
mbalizi1 said: Babu yangu (marehemu) kaondoka ana miaka ya kutosha lakini alikuwa anawashughulikia japo mara moja moja Click to expand... Ni wachache sana wanaoweza kuwa hivyo;wengi unakuta wameathiriwa na vyakula,magonjwa ya ukubwani n.k na nguvu kupotea
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,940 Reaction score 46,085 Jun 14, 2019 #5 Equation x said: Ni wachache sana wanaoweza kuwa hivyo;wengi unakuta wameathiriwa na vyakula,magonjwa ya ukubwani n.k na nguvu kupotea Click to expand... Sibishi
Equation x said: Ni wachache sana wanaoweza kuwa hivyo;wengi unakuta wameathiriwa na vyakula,magonjwa ya ukubwani n.k na nguvu kupotea Click to expand... Sibishi
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,851 Reaction score 9,372 Mar 20, 2025 #6 Sio wote