Kuna ukweli wowote wa hizi link za kutengeneza pesa?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,241
4,378
http://revenuebrust.com/?refcode=16220

Habarini wanajamvi,

Hichi kitu kimetrend sana mtandao wa whatsapp mi nikaona nichukue link nithibitishe kwa JF, nikweli mtu anatengeneza pesa kupitia website hii.

Bila gharama yeyote mi nimeingia kama mara 2 but naona kama uongo then sielewi kama kweli naomba mnipe faida na anaejua anielekeze jinsi ya kupata, link hiyo juu.
 
Pole sana ndugu..miaka mitano kamili hujapata jibu..Ila popote ulipo nikuambie tu hakuna ukweli kwenye hizo kitu..pesa ya kweli inapatikana kwa kufanya Kazi tu..fanya Kazi ..fanya Kazi bila kuogopa kuchoka
 
Back
Top Bottom