Kuna ukweli kwamba petroleum itakakua nasoko kubwa kuanzia 2022

EPHMAN JANSU

Member
Feb 23, 2017
30
6
naje? kwa mwaka huu soko la petroleum linaonekana kutengemaa au vip wadau naomba muonyeshe ushilikiano ktk hii mada
 
ukirudi kiuhalisia soko la petrol ni complecated sana-maana unapozungumzia petrol unazungumzia uchumi wa dunia-na hapa huwa kuna mambo mengi kuna scarcity za kutengeneza kukidhi jambo fulani.
chukulia mfano mdororo wa uchumi uliotokea duniani mwaka 1979 ulitokana na mambo ya mafuta na ni mdororo wa kutengenezwa lengo likiwa na kufanya mataifa fulani kuomba fedha IMF NA WB ili uingie mkenge upewe shariti la kuruhusu sera za Ubepari
 
Back
Top Bottom