Kuna ukweli hapa?

Hiyo ya kiwandani nna mashaka nayo bora kutumia kitunguu maji asee
 
Huku kwetu kipara ni dalili ya usomi na kina heshima zake.
 
Kitunguu maji unakifanyaje?
Chukua mafuta ya nyonyo ya kienyeji na mafuta ya sulphur uchanganye pamoja vizuri kabisa alafu tumia kupaka kichwa kizima miez 2..3 vitunguu vinatibu pia kwa kuwa unakikata alafu unapakaa eneo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…