Kuna ukwel wowote juu ya hili?

Kuna ukwel wowote juu ya hili?

kwani anae vaa mguu bandia anakua anamguu asilia kama hao wanaovaa hizo nywele? au unakua umevunjika? we mungu kakuumba mu_afrika unataka kuonekana kama mzungu, kama sio kuukosoa uumbaji wa mungu ni nini?

So kama umeumbwa kilema miguu na ya bandia ipo ili uweze kujisaidia au will chair inamaana usitumie coz utamkosoa Mungu?
 
Kwani anae vaa mguu bandia anakua anamguu asilia kama hao wanaovaa hizo nywele? au unakua umevunjika? we mungu kakuumba mu_afrika unataka kuonekana kama mzungu, kama sio kuukosoa uumbaji wa mungu ni nini?

Nimekuelewa sana
 
Hivi kwanini wazungu wanachezea sana akili za wa Afrika, haya hongereni mliofika ulimwengu wa kiroho.
 
Ni kukosa maarifa pale unapoamua kumuhusisha Mungu (nasema hivi kwa kumention ulimwengu wa roho uliousema) na petty issues za maisha

Mungu hayuko concerned na every single details za yale tunayoyafanya..but rather katika yale yenye impact katika uhusiano wetu na Yeye

Yafaa labda tujiulize, je. mwanamke kavaa wigi ili iweje?..kama ni kwa lengo la kuwanasa wanaume wenye kupenda wanawake wenye nywele mithili ya wigi alilovaa hapo kuna tatizo...lakini kana (as in the case of Migiro) kavaa ili tu awe smart then tatizo lipo wapi?

Ukiwaza kwa mtiririko huo utafikia kusema kunyoa nywele ni dhambi maana unataka uonekane una nywele fupi wakati Mungu kakuwekea nywele zinazorefuka

We should grow up in thinking!!!!
 
...u knw...THOUGHTS..have the greatest power in our lives...what you think is what you create/become...
 
Duh! Movie zinawaharibu watu kweli. Medusa katika ulimwengu Wa roho
 
Back
Top Bottom